Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza migogoro ya ardhi na mipaka vijijini.
Utoaji wa hati hizi...
Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo.
Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
Habari?
Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji.
Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi ingependeza kama wangeongeza na Makazi na ufugaji.
Katika makazi na ufugaji viandaliwe viwanja vikubwa...
Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024
Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007.
Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
CHAMWINO
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amesema jumla ya vijiji 63 kati ya vijiji 73 vilivyokuwa katika mpango kwenye wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma vimefanyiwa mipango ya matumizi bora ya ardhi.
Aidha, vijiji 10 vilivyosalia viko katika mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.