matumizi ya ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za upangaji zatakiwa kuepuka mipango ya matumizi ya ardhi kwenye maeneo hatarishi

    Mamlaka za Upangaji nchini zimetakiwa kuepuka kuandaa na kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo hatarishi, ikiwemo mabonde na maeneo yanayopitisha maji, ili kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha usimamizi bora wa matumizi ya ardhi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya apiga marufuku uandaaji wa mipango ya matumizi ya ardhi kwenye viwanja vya mita 20 kwa 20

    Awataka wataalamu wa mipango miji kufanya kazi kwa uadilifu Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka wataalamu wa mipango miji nchini kuacha kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi kwenye viwanja vyenye ukubwa wa mita 20 kwa 20, isipokuwa katika maeneo...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yaridhishwa na utendaji wa tume ya matumizi ya ardhi

    DODOMA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, huku ikisisitiza umuhimu wa kukamilisha hatua zote za upangaji wa matumizi ya ardhi. Kauli hiyo imetolewa leo, Oktoba 22, 2026, jijini Dodoma...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya apokea taarifa za tathmini ya mpango kabambe wa jiji la Dodoma na mikakati ya upangaji matumizi ya ardhi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (MB), amepokea Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma wa mwaka 2019–2039, iliyowasilishwa na wataalamu wa Maendeleo ya Makazi kutoka Makao Makuu kwa kushirikiana na Ofisi ya Kamishna Msaidizi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndika: Ongezeko la watu Ngorongoro linaathiri matumizi ya ardhi

    Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Gerald Ndika, amesema mfumo wa matumizi mseto ya ardhi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro umeleta mafanikio makubwa katika sekta ya utalii. Akizungumza leo Alhamisi, Machi 12, 2026 katika Ikulu ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Sera ya Ardhi iliyoboreshwa kuweka mfumo madhubuti matumizi ya Ardhi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 Toleo la Mwaka 2023 iliyozinduliwa Machi 17, 2025 jijini Dodoma ina lengo la kuhakikisha nchi inakuwa na mfumo madhubuti na wenye usawa wa umiliki, upatikanaji na usimamizi wa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi yakabidhi bure hati miliki za kimila kwa wakazi 360 Bahi, Dodoma

    Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza migogoro ya ardhi na mipaka vijijini. Utoaji wa hati hizi...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mpango wa matumizi ya ardhi kudhibiti migogoro kibiti

    Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo. Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
  10. Bra-joe

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji mijini.

    Habari? Ningependa kuishauri Serikali kuja na Sheria ya ardhi inayoruhusu matumizi ya ardhi kwa ajiri ya makazi na ufugaji. Kama ilivyo matumizi ya ardhi ya makazi, makazi na biashara. Basi ingependeza kama wangeongeza na Makazi na ufugaji. Katika makazi na ufugaji viandaliwe viwanja vikubwa...
  11. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kubadilisha matumizi ya ardhi

    Mwenye kufahamu process za kubadiri matumizi ya ardhi anielimidhe please. Unapitia hatua zipi/
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Vijiji 63 vyafanyiwa mipango ya matumizi ya ardhi Chamwino

    CHAMWINO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amesema jumla ya vijiji 63 kati ya vijiji 73 vilivyokuwa katika mpango kwenye wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma vimefanyiwa mipango ya matumizi bora ya ardhi. Aidha, vijiji 10 vilivyosalia viko katika mchakato...
Back
Top Bottom