Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo
Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya akapata ajira mkoani
Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata...