Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia
Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua"
Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia chochote home🥶"
Kumuuliza akasema "mpenzi wake ni mjamzito wa miezi mitano"
Anasema kwamba mwenzie mshahara wake ni 4M(mwanamke)anafanya kazi mgodini, jamaa analipwa 1.5M
mwanamke alimwambia mshikaji kwamba ajitahidi kufungua biashara nyingine ili walee mtoto vizuri mind you kwenye 4M ni ya mwanamke peke ake jamaa anaona mwanamke ni mbinafsi
Sasa jamaa anaona kama ananyanyasika kwanini mkewe anafedha kubwa then anaambiwa hiyo 1.5M haitatosha kwa mtoto atakaezaliwa
🤞Sasa jamaa anajiuliza ampige chini huyo mwanamke, atafute mwanamke mwenye kipato chini yake? Ambae hana bajeti kubwa kubwa
🤞Au Afungue tu biashara nyingine kutoka kwenye 1.5M (mind you jamaa anafanya kazi serikalini) muda Sasa wa kusimamia bizness ndio shida🤔
Naombeni mawazo tumsaidie mwanaume mwenzetu, wanawake nanyi ruksa kwa michango