Wapigane chiniSioni mwanaume hapo naona Marioo anayelilia pesa za mwanamke na anayekwepa majukumu...
Hapana wangu hana Ata kazi 🤣huwa sivutiwi na wenye kazi zao Sasa mimi naingiza 300k kwa mwezi nikatafute tena demu mwenye kaziHizi nyuzi zikiendelea hivi nne au tatu kwa wiki naweza achana na huyu mchumba wangu sote ni CPA, ubinafsi wa wanawake😂😂😂, najua sio wote lkn sio huyu au huyo wa kwako huyo sio wote sio wa kwako wala wangu.
Ni sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani.Wa kwangu Mie kamaliza Chuo last year ana miaka 24,nilimwambia aje kuishi nyumbani kwangu akasema matumizi niwe nampa 25k kwa siku, n kama nikimfungulia biashara iwe ya matumizi yake yeye hawezi kuwa mama nyumbani, akasema na nikimfungulia biashara lazima nmuhudumie
tatizo watu wazima wanatuharibia Mabinti hawa masponsor wa miaka 50+ 30k kuhonga kwao sio ishu demu unakutana nae anataka uendeleze hiyo hiyo ligiNi sawa na kujibebesha gunia la misumari kichwani.
Sasa sikia..mzalishe afu muache awe single mazaWa kwangu Mie kamaliza Chuo last year ana miaka 24,nilimwambia aje kuishi nyumbani kwangu akasema matumizi niwe nampa 25k kwa siku, n kama nikimfungulia biashara iwe ya matumizi yake yeye hawezi kuwa mama nyumbani, akasema na nikimfungulia biashara lazima nmuhudumie
Nimeshangaa, watu wanalipwa 50k kwa mwezi na wana watoto 4. Duuhwatu wanalipwa laki 2 na familia zinasonga,,, aaaah dunia haiko fair kabisa
SH uko sahihi sanaa. 👏👏👏Kuna kosa kubwa Huwa linafanywa na sisi wanaume kabla ya kuingia kwenye mahusiano.
Kuna red flags zinajionyesha mapema sana kwa mwanamke lakini tunazipuuza kwa sababu ya hisia(emotions) kuzidi logic(mantiki).
Ulipokuwa nae katika mahusiano kabla hujamweka ndani Nina uhakika ulijua unaanzisha uhusiano na mwanamke ambaye amekuzidi kipato mbali sana. Hiyo ni red flag tayari maana hakuna mwanamke atakubali muanzishe mahusiano alafu utegemee siku Moja mje mshee kile anapata..we ni nani?
Ulitakiwa ujiandae mapema kisaikolojia kuwa huyu mwanamke amenizidi kipato na sitegemei unafuu wowote kutoka kwake. Endapo atatoa fungu lake na kuweka mezani ni nafuu kwako ila kama hatachangia,basi Sina budi kupambana na hali yangu.
Ukija kulia lia kwa kisingizio cha "rafiki yangu" haitakusaidia chochote. Hiyo ni nature ya wanawake (ubinafsi). Deal nae kama mwanaume,siyo kama mvulana.
Hivi coca umemaliza chuo?SH uko sahihi sanaa. 👏👏👏
Ndiyo DR, vipi unataka kunipa kazi?Hivi coca umemaliza chuo?
Upo mpitimbi,Songea? Au upo Dar?Ndiyo DR, vipi unataka kunipa kazi?
Nifanyie hivyo bas Dr, u jobless unachosha.
Na ni kweli Mwanamke yuko sahihi kabisa.Mosi, kama kweli rafiki yako ana kipato cha chini angeachana kwanza na pombe...
Pili kwa kipato cha 1.5mil kwa mwezi, kinatosha kuhudumia familia ya mtoto mmoja na chenji inabaki...
Niko DarUpo mpitimbi,Songea? Au upo Dar?
Hivi ulisomea nini Coca? Au kama jau kujibu hapa nicheki pm.Niko Dar