Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia

Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua"

Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia chochote home🥶"

Kumuuliza akasema "mpenzi wake ni mjamzito wa miezi mitano"
Anasema kwamba mwenzie mshahara wake ni 4M(mwanamke)anafanya kazi mgodini, jamaa analipwa 1.5M

mwanamke alimwambia mshikaji kwamba ajitahidi kufungua biashara nyingine ili walee mtoto vizuri mind you kwenye 4M ni ya mwanamke peke ake jamaa anaona mwanamke ni mbinafsi

Sasa jamaa anaona kama ananyanyasika kwanini mkewe anafedha kubwa then anaambiwa hiyo 1.5M haitatosha kwa mtoto atakaezaliwa

🤞Sasa jamaa anajiuliza ampige chini huyo mwanamke, atafute mwanamke mwenye kipato chini yake? Ambae hana bajeti kubwa kubwa

🤞Au Afungue tu biashara nyingine kutoka kwenye 1.5M (mind you jamaa anafanya kazi serikalini) muda Sasa wa kusimamia bizness ndio shida🤔

Naombeni mawazo tumsaidie mwanaume mwenzetu, wanawake nanyi ruksa kwa michango
Mwambie aendelee kujiuliza hivyohivyo alivyotuuliza. Siku akipata jibu atakuwa hana hata kandambili
 
Keshaingia mtumbwi wa vibwengo huyo
 
Tunajua ni wewe, hujamuoa wala hujapigiliwa misumari hapo, tafuta unayemmudu.
Kifupi ukiendelea kuwa king'ang'anizi hapo utateseka sana
 
Tuma picha ya huyo mwenye 1.5 M tumuone ili tujue namna ya kumshauri.
 
Sioni mwanaume hapo naona Marioo anayelilia pesa za mwanamke na anayekwepa majukumu...
Kuna kiumbe napambana nacho kwa tabia hizi za kutaka niwe nafinance mavitu yake.
Eti oooh "mimi nikikwama lazima nimfate mtu wangu wa Karibu ambaye ni wewe".
Ila wanaume wa sikuhizi jamani eiiish
 
Naona anakwenda kutapeliwa mtoto maana hakuna muolewaji hapo, Mama kaamza sabbabu za kuja kudai haudumiwi.
 
Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia

Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua"

Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia chochote home🥶"

Kumuuliza akasema "mpenzi wake ni mjamzito wa miezi mitano"
Anasema kwamba mwenzie mshahara wake ni 4M(mwanamke)anafanya kazi mgodini, jamaa analipwa 1.5M

mwanamke alimwambia mshikaji kwamba ajitahidi kufungua biashara nyingine ili walee mtoto vizuri mind you kwenye 4M ni ya mwanamke peke ake jamaa anaona mwanamke ni mbinafsi

Sasa jamaa anaona kama ananyanyasika kwanini mkewe anafedha kubwa then anaambiwa hiyo 1.5M haitatosha kwa mtoto atakaezaliwa

🤞Sasa jamaa anajiuliza ampige chini huyo mwanamke, atafute mwanamke mwenye kipato chini yake? Ambae hana bajeti kubwa kubwa

🤞Au Afungue tu biashara nyingine kutoka kwenye 1.5M (mind you jamaa anafanya kazi serikalini) muda Sasa wa kusimamia bizness ndio shida🤔

Naombeni mawazo tumsaidie mwanaume mwenzetu, wanawake nanyi ruksa kwa michango
Mzee umeoa demu asiye level zako.
Umejichanganya
 
Kwa jicho la tatu, hakuna ndoa hapo; kwa bahati mbaya, mwanaume akitoboka macho hapo na kuwa mlemavu hatopata msaada wowote kwa huyo mke, achukue hatua mapema.​
Wa kwangu Mie kamaliza Chuo last year ana miaka 24,nilimwambia aje kuishi nyumbani kwangu akasema matumizi niwe nampa 25k kwa siku, n kama nikimfungulia biashara iwe ya matumizi yake yeye hawezi kuwa mama nyumbani, akasema na nikimfungulia biashara lazima nmuhudumie
 
Hawa ndio husema nikioa mwana mke tutweka mishara pamoja sasa umeona mumeweka ,magazine kwa wanawake kuna professor wa kuwaweka sawa wenye vipato na wenza wa masikin jifunze fanya biashara ya nyanya kwa ushauri walau atawaambia mume anahangaika sasa watamwambia mshahara wako asiguse alikuoa ww hakuoa mshahara wako
Pia wanamwambia babako alikusomesha kula vya babako hana tafuta mwenye pesa yaaani!
 
Hizi nyuzi zikiendelea hivi nne au tatu kwa wiki naweza achana na huyu mchumba wangu sote ni CPA, ubinafsi wa wanawake😂😂😂, najua sio wote lkn sio huyu au huyo wa kwako huyo sio wote sio wa kwako wala wangu.
 
Back
Top Bottom