Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia

Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua"

Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia chochote home🥶"

Kumuuliza akasema "mpenzi wake ni mjamzito wa miezi mitano"
Anasema kwamba mwenzie mshahara wake ni 4M(mwanamke)anafanya kazi mgodini, jamaa analipwa 1.5M

mwanamke alimwambia mshikaji kwamba ajitahidi kufungua biashara nyingine ili walee mtoto vizuri mind you kwenye 4M ni ya mwanamke peke ake jamaa anaona mwanamke ni mbinafsi

Sasa jamaa anaona kama ananyanyasika kwanini mkewe anafedha kubwa then anaambiwa hiyo 1.5M haitatosha kwa mtoto atakaezaliwa

🤞Sasa jamaa anajiuliza ampige chini huyo mwanamke, atafute mwanamke mwenye kipato chini yake? Ambae hana bajeti kubwa kubwa

🤞Au Afungue tu biashara nyingine kutoka kwenye 1.5M (mind you jamaa anafanya kazi serikalini) muda Sasa wa kusimamia bizness ndio shida🤔


Naombeni mawazo tumsaidie mwanaume mwenzetu, wanawake nanyi ruksa kwa michango
Amwambie watoe mimba hapo tayari kichomi hicho,huyo rafiki yako ataona rangi zote hadi atapata pressure
 
Mwanaume ndo baba...sasa kulia lia kisa mke ana mshahara mkubwa haisaidii...we hudumia familia yako tu mkuu..hela ya mwanamke huwa ni ya kwake😁..ila kama kuna nyodo ndo uumie moyo
 
Ndio maana kuna wengine huamua kuoa mwanamke atakaye kaa nyumbani na kulea watoto. Sasa aina hiyo ya wanawake ukikutana nao kwenye vikao au makongamano yao misuli ya shingo inavyo watoka juu ya 5p/50,huku hela yao wanaiona chungu.
 
Sioni mwanaume hapo naona Marioo anayelilia pesa za mwanamke na anayekwepa majukumu...
Wewe ni mjinga bila kujijua kuwa ni mjinga.

Kwa hiyo wewe mwanamke unafanya kazi hili iweje sasa kama hutaki kutumia pesa yako kwenye malezi ya mtoto ambaye ni wa kwako?

Nyie wanawake wa kiafrika hata mkienda shule bado mnabaki kuwa wajinga tu.

Huyo dada ana mshaara ambao ni almost mara ya tatu ya mashaara wa mumewe, halafu bado anataka jamaa ndio atumie mshaara wake kulea mtoto wao wakati yeye mshaara wake asiiguse, sasa ni akili hiyo? Huo si ni zaidi ya ubinafsi?

Halafu unakuja na wewe hapa unamuita jamaa mario serious? Kwamba kumtaka mkewe atenge sehemu ya mshaara wake kwa ajili ya malezi ya mtoto wao ni umario?

Nyie wanawake wa kileo acha tu muwe masingo maza, namshauri huyu mleta mada aachane na huyo mwanamke kisha atafute mwanamke mwingine.
 
Mwanamke yupo sahihi kumwambia afungue biashara kukuza kipato, hiyo part amsikilize aifanyie kazi ila part ya ni kiasi gani mtoto na mama wanahitaji za kuambiwa achanganye na zake, asiendeshwe kimbuzi mbuzi.
 
Usiteseke duniani kisa mwanamke maana kila mmoja amezaliwa na mama yake...so kila mmoja aishi maisha yake tu
 
Jamaa yako ni kubwa jinga

Angekuwa mshikaji wangu ingekuwa nishamkataa kitambo

Ile siku ukienda kifunga ndoa kwa wale ambao tumeoa, aisee njia nzima unaona wanawake wazuri tu. Mpaka unawaza shetani anataka nini kwangu
Kabisa jamaa yake ni bwege sana, yaan kesi ndogo kama hiyo anawaza mpaka anadondosha chozi si ni fala huyo?
 
Tatizo kubwa wanaume hatujihurumii na tunaendeshwa na tamaa za kusex ukute hapo wana mahusino zaidi ya mwaka mwanaume mtoaji wa kila kitu na demu kazi yake kutega

Mzazi mwenzangu aliniletea hizo pigo unamtumia laki 2 hataki anataka laki 4 kisa anajua kipato changu nikampotezea now amenyooka ila hatuna ukaribu wowote ukiacha mtoto
 
Rule number one: JIPENDE WEWE KULIKO KIUMBE CHOCHOTE WEWE MWANAUME,USIUMIE WALA USISONONEKE KWAKUWA WEWE NI WATHAMANI SAANA

uki violet hii Rule ndio utajikuta unalia,Sisi wengine hata mwanamke awe analipwa million Kumi ila kama pesa nayopata inaweza kunihudumia for basic needs....tunasema alhamdulillah,WE DON'T CARE WHAT YOU HAVE,NA UTAISHI KWA AMRI YANGU ,UTAKI UTAONDOKA......Duniani tunaishi mara moja Tu! Na hatujui huko tunapoenda kama kuna furaha au mateso
 
Back
Top Bottom