matumizi ya watoto kwenye siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Kama Taifa tumefikaje sehemu tunawatumia watoto wa chini ya umri wa miaka 5 kama nyenzo ya kufifisha maandamano?

    Hivi si tulikubaliana kwamba watoto hawatakiwi kuhusishwa na siasa? Nani alikuja na script hii ya kufanya hawa watoto tena wa umri wa miaka 5 kusoma barua sijui hotuba kama hii ambayo ni 100% political? Jamani tunajua mmepanic lakini hii sio sawa. ========================== Watoto wenye umri...
  2. Bila bila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Acheni kutumia watoto bure kwa faida zenu za kisiasa

    Biashara yoyote inafanywa kutafuta faida. Na mnaofanya hizi sinema za kubebesha watoto mabango ya Samia mnatafuta kuonekana kwake kwamba mnampigania ili awateue. Lakini watoto hawa Malaika wa Mungu wasiojua kitu wanapata nini wakati hata kandambili miguuni hamuwanunulii? Mnatumia vibaya...
Back
Top Bottom