matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Uchunguzi wangu: Matumizi ya fedha za Umma

    After a long time of usage and public checkability! I have noted that: 1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025. Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
  2. Kuelewa Matumizi / Ugavi wa Umeme ni rahisi ukifananisha na Bandwith (Matumizi ya Simu) OffPeak na Peak Times.

    Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
  3. Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  4. Warembo wanatumia karibia mwezi mzima kuenzi siku yao. Huu muda wote wakumbushane usawa wanaoutaka wautumie pia kuchangia katika matumizi equally

    Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara. Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs. Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
  5. B

    Vodacom, ZICTIA Zaungana Kukuza Matumizi ya Kidijitali Zanzibar Kupitia Nyaya za Chini ya Bahari

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA), Shukuru Awadhi Suleiman (kushoto) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, wakisaini nyaraka za makubaliano ya ushirikiano lenye lengo la kuboresha huduma...
  6. Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  7. Lema na CHADEMA hawaijui "The National Payments System Act of 2015" isiyotambua matumizi ya CRYPTOCURRENCY

    Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha. Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu usiwepo ,kumbe yote ni "nakama" ,waya mkali ,ulofa hapo makaoni. Makamu Mwenyekiti ndg.Lema anawayawaya...
  8. Mabilioni ya Wahindi (India) hawana pesa za matumizi - Wakati tunatengeneza Dira tuangalie kama ndio huko na Sisi tunataka kwenda...

    Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class, effectively the potential market for start-ups or business owners, is only about as big as Mexico...
  9. Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
  10. Vitu gani ambavyo hupelekea matumizi ya mafuta kuwa mkubwa kuliko kiwango cha kilomita ?

    Ni sababu zipi zinazopelekea kupanda kwa ulikaji wa mafuta?
  11. Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

    Karibuni wakuu, Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
  12. Je, matumizi ya Ajinamoto kuongeza Ladha kwenye chakula kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa. Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu wanajukwaa hasa wadau wa lishe, afya na chakula karibu kwa ufafanuzi kama hiki kitu kinaathari kwenye...
  13. Maelezo marefu kumbe agenda kuu ilikuwa ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya kifamilia na za kuendesha chama chake

    Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa, Tazama sasa, Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
  14. Kiwanja Kwa matumizi ya sheli kinauzwa.

    Habari wanandugu wa Jua na AC. Nauza kiwanja Kwa matumizi ya sheli. Limepimwa kwajili ya matumizi ya sheli na wizara ya Ardhi. Kipo katika barabara kuu ya East Africa Kiwanja kipo Tanga Korogwe. Sqm 2000 Bei milion 105 Nipigie simu #dalaliwamjini 0754693556
  15. D

    Utaratibu wa unyampara kwenye matumizi ya barabara zetu umekithili, Viongozi na magari ya majeshi waelekezwe matumizi ya barabara

    Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu. Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana! Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa...
  16. Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.

    Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa. Vipi miezi Kadhaa kuelekea uchaguzi ? Wakati ambao CDM mpya inarudi kua Ile ya 2010, sio kwamba Dola imeburuzwa na kuingia...
  17. Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
  18. Wakuu nilisema simtoi out nibane matumizi Sasa katika nguvu zote zimeisha

    😂😂😂nikija kulia mnipokee wakuu huenda nimepigwa dawa Safari Longoni beach
  19. K

    Hivi hiki Kiberiti Toyota Vits Engine 1 KR CC 990 vipi uimara wake kwa matumizi ya Mjini

    Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990. Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
  20. Matumizi ya hii gari kwa mafuta hapa Dar. Kwa uzoefu

    Gari ni Toyota Wish 2010 (wanaiita new Model) kwa mkazi wa Bunju ofisi Posta. Inaweza ikawa na wastani wa Kms ngapi kwa lita moja? Kwa mwenye uzoefu please. Hapo fikiria umewasha AC muda wote maana ndo kazi yake. Hakuna kuzima wakati wa foleni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…