Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia.
Wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu kwa mitindo...
MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya ustawi wa wananchi wa Mpanda kuanzia tarehe 31-08-2022. Wiki moja baada ya kuanza majukumu yake mapya...
Hii nimeiona leo ktk jiji la arusha kwenye barabara ya jogoo house kwenda uhuru road,duka la vinywaji la MAINA HOLDINGS kwa namna wanavyopaki magari yao na hata magari ya wateja siyo salama kabisa kwa sababu barabara ni vinyu hairuhusu gari kupaki kwa kukatiza barabara kwani hii ni hatari kwa...
Habari za muda huu watu
Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu.
Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma, mhitimu.
Japo ni kwa mapenzi ya kweli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.