Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omar Said Shaban (katikati), akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkazi wa Pesapal, Bupe Mwakalundwa (wa pili kulia) na Meneja Mkuu wa Pesapal Emmy Rono (watatu kulia) jinsi ya kufanya malipo kupitia mfumo wa Pesapal badala ya fedha taslimu...
Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu.
Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
Unasajiri laini ya simu kwa NIDA ila cha kushangaza wanakuwekea ndani ya miezi mitatu imefutwa.
Unaenda kuomba mkopo benki lakini kitambulisho cha NIDA ni kama umepeleka Passport tu kwa nijuavyo.
Suala la kitambulisho cha taifa tulivolichukulia kiukweli tumekosea kiwango kikubwa tena...
Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?.
Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo.
Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
Habari wakuu,
Life limekuwa tight mno wakati huu ila sidhani kama ni kwetu wote, ila kama unavyoona hapo kwenye kichwa cha huu uzi hebu tujuzane gharama za matumizi yetu ya kila siku.
Mfano mimi ni single boy ila Approximately ya matumizi yangu kwa siku huwa haizidi 8000Tsh, hapo nimekula...
Viongozi wa juu wa kitaifa wanahitaji mahitaji maalumu kila waendapo na yanahusisha gharama. Misafara yao na wasaidizi wao. Ikiwa hilo halitoshi wenyeji nao wana misafara yao kila panapokuwa na tukio linalohusisha kiongozi mkuu. Hivi kweli ni sawa.
Waziri mkuu kuandaliwa rasmi shughuli ya...
Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi.
Tuje kwenye simu huku ndio...
Nimekutana na hii video mtandaoni,
Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma.
Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
digital rights
digitali
good governance
haki za kidigitali
huduma
huduma za serikali
kuongezeka
matumizimatumizi ya digitali
muhimu
serikali
umuhimu
utawala bora
Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Mapinduzi ya Injini za Ndege ya mekuwa makubwa sana.
Kabla ya kujua injini za ndege kwanza tufahamu aina za injini kiundani kabisa.
Sio neno geni kujia jina injini na matumizi ya injini yanaeleweka na tunatumia kwenye vifaa na vyombo vyetu vya usafiri.
Injini inayozungumziwa hapa ni injini...
Kazi iendelee kwema jamani.
Jana nimemsikia waziri wa wizara mmoja bungeni akijibu swali kuhusu matumizi ya fedha nje ya bajeti.Amejibu majibu rahisi as if anawajibu watu wa gani sijui na kinachonishangaza wabunge wameridhika na kukaa kimya.
Kitu kingine kinachonisikitisha ni kuwa sheria na...
Wazee kama yalivyo makundi mengine hawapaswi kubaguliwa kwenye matumizi ya mtandao ili kufanikisha maisha yao ya kila siku.
Wanapaswa kujengewa uwezo wa matumizi sahihi ya mtandao unaoendana na mahitaji ya sasa ili waweze kufurahia vizuri haki yao hii ya msingi.
Kwa wale wenye mahitaji maalum...
Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
derby
harufu
haya
makato
mapato
matumizi
mbaya
mechi
mechi ya simba
mgawanyo
milioni
milioni 100
ndani
serikali
simba
simba na yanga
simba sports club
simba vs yanga
sports
tff
tuwekeze
ufisadi
unyonyaji
uwanja
viwanja
yanga
Mitandao mingi ya Umma ya Wi-Fi huwa na usalama mdogo kiasi cha kufanya watu wengine wanaotumia mtandao huo kuwa na uwezo wa kufikia Shughuli na Taarifa zako Binafsi kwa urahisi.
Wi-Fi huweka wazi anuani yako ya Kimtandao, Sehemu uliyopo pamoja na Mambo unayofanya ukiwa Mtandaoni.
Unashauriwa...
Kiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu.
Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame.
Jambo plastic hivi viplastic...
Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi.
Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.