Wako wafanyabiashara kadhaa EFD zao zimezimwa na TRA na zinaonyesha ujumbe mzuri kabisa DEVICE BLOCKED BY TRA bila kusema sababu.
Hii inawezekanaje wakati ambao TRA inahamasisha toa risiti dai risiti?!
Hello JF,
👇👇👇
Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko.
Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
MBUNGE DKT. ALFRED KIMEA ASISITIZA MATUMIZI YA LUGHA YA KINGEREZA KWENYE MTAALA WA ELIMU TANZANIA YASIPUUZWE
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea tarehe 16 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu huku akiainisha matumizi na faida ya lugha ya kingereza Kitaifa na...
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
Suala la nishati ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, nishati ya mafuta na gesi imekuwa ikileta changamoto kubwa katika suala la mazingira na afya ya binadamu. Kuna haja ya kuangalia chanzo mbadala cha nishati ambacho kitakuwa salama kwa mazingira na afya ya...
Mazingira ni jumla vitu vyote vinavyotuzunguka vikiwemo viumbe hai na visivyo hai.mfano wa viumbe hai ni pamoja na binadamu ,mimea na wanyama visivyo hai ni pamoja na mawe magari nyumba n.k
Mazingira hayo pia yamegawanyika tena katika sehemu mbili;
(1)mazingira ya vijijini
(2)mazingira ya mijini...
UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA
Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa...
Wakati nikitafakari maendeleo ya wanasayansi wa Uingereza kutumia DNA za watu watatu tofauti ili kuzalishaji mtoto mmoja kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kurithi yasiyoambukiza na kutibika, nikawaza sisi Tanzania wanasayansi wetu wanasaidiwa vipi na CCM kufanya tafiti mbali mbali kwa maslahi ya...
Salaam brothers and sisters,
Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets nitakazokuwa natengeneza kwa Adobe AfterEffects?!
Natanguliza shukrani.
Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee!
Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote!
ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
Ikiwa CAG huchunguza matumizi Kwa taasisi za Serikali Kuu na Serikali za mitaa (halmashauri) kisha huleta ripoti bungeni. Je huchunguza matumizi katika Bunge letu tukufu? Hawa waheshimiwa wanafaidi keki ya Taifa ipasavyo Kwa njia zifuatazo (ukiacha mishahara minono).
1. Posho Nono za kamati za...
Taratibu tutaelewana?
Hapa ITV wana report kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku rangi za upinde wa mvua visiwani humo kwenye shule zote za msingi, secondary na vyuo, maeneo ya uwazi, ili kulinda kizazi dhidi ya mashoga na wasagaji.
Pia wamezuia kuagiza vitabu vyovyote kutoka...
Yaani CAG anagundua makosa ya budget ya 2020-2021 halafu anaitoa 2022 lakini wakubwa wanaipeleka mbele katikati ya budget ya 2023-2024. Hivyo matatitizo ambayo yamegunduliwa yanaweza yakawa yanaendelea kwa miaka 2 kabla ya kufanyiwa kazi!. Lakini cha ajabu kama kweli Bunge kazi yake ni kushauri...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasilisha Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.1 kutoka Ofisi ya Rais na kufafanua matumizi yake ambapo Ofisi ya Rais Ikulu itatumia Tsh. Bil. 32, Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri Tsh. Bil. 678.19 za Matumzi ya...
JF nimejiunga miaka 12 ilopita.
Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa.
Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya...
Last time nilisema Tarakea na Manyovu wanatumia Madaftari kutoa huduma za kuingia na kutoka nchini nikashauri wafanye marekebisho vituo hivi vifanye kazi kama vituo vingine kuleta hadhi Kwa wanaovuka mpaka.
Naomba kumkumbusha Dkt. Makakala kwamba bado Hali hii ipo vile vile pamoja na ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.