Waziri wa Baraza la Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CS) Eliud Owalo ameashiria mpango wa serikali ya Kenya Kwanza kupunguza matumizi ya matangazo ya vyombo vya habari.
Akibainisha kuwa kusambaza matangazo ya Serikali ni jukumu lake, CS Owalo alihoji ni kwa nini serikali...
Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti.
Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI
"Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujali maisha ya wananchi wa nchi hii. Maazimio haya ni ushahidi wa namna...
MHE. JAFARI WAMBURA AISHAURI SERIKALI KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA TUME YA TAIFA YA MATUMIZI BORA YA ARDHI NCHINI
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mhe. Jafari Chege Wambura tarehe 22 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa mwaka 2023-2024 bungeni jijini Dodoma
"Namshukuru...
Picha: RF studio
DIBAJI
Uwajibikaji ni moja ya nguzo muhimu sana ya ustawi wa taifa lolote duniani. Hata maitaifa makubwa na yenye ustawi kimaendeleo kama Marekani yamezingatia uwajibikaji ili kufikia hapo walipo sasa. Teknologia ni moja ya nyezo umuhimu katika karne ya ishirini na moja ambayo...
Viongozi sita wakiwemo Mashekh wawili wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya za Meatu na Bariadi mkoani Simiyu, wanadaiwa kusimamishwa uongozi wao kwa muda usiojulikana kutokana na tuhuma mbalimbali wanazodaiwa kutuhumiwa.
Imedaiwa kuwa viongozi hao walisimamishwa na Mkutano Mkuu...
Kongamano la 8 la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu limeanza leo jijini Dar es Salaam ambapo wito ukitolewa kwa wanataaluma kuongeza umakini kukabiliana na changamoto za teknolojia mpya.
Kupitia kongamano hilo lililoandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech), mada mbalimbali zimejadiliwa...
Vijana wengi wa Kitanzania Wanatumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume. Tatizo ni Nini?
Hivi karibuni, nilibahatika kusafari na kutembelea jiji la Dar es salaam Tanzania. Jiji la Dar ni jiji lililo sheheni kila aina ya biashara. Na moja ya biashara iliyopata umaarufu sana hivi karibuni ni...
Mwili wa mwanadamu una viungo mbalimbali muhimu baadhi ya viungo muhimu zaidi ni Ubongo, moyo, mapafu, ini na figo.
Kila kiungo kinafanya kazi kutokana na ufasihi wa kiungo kingine cha mwili ndo vile kusema ukiuma moyo na mwili wote utauma.. kulingana na kichwa cha stori hii kikihusiana na...
Nimeangalia matumizi ya GBs kwa robo mbalimbali nchini nimegundua kuna shida kwenye takwimu wanazotoa TCRA. Kwa robo ya mwisho ya mwaka 2022 walionesha kuwa tulitumia jumla ya GB Trilioni 90.1
Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48
Mimi niombe...
Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua zaidi kwanzia miaka ya 1700 ambapo vifaa mbalimbali vya kisayansi vilitengenezwa Na kuleta mabadiliko...
Helllo,
Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha viwanja, natafuta demu kivyovyote vile na naonesha umwamba sana, nakula sana bia, nikitoka out...
Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki?
Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
MBUNGE JAFARI WAMBURA ATAKA MATUMIZI BORA YA ARDHI YAPANGWE ILI KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI
"Chanzo cha migogoro ya Ardhi nchini mojawapo ni kupitwa kwa Sera ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ambayo ni ya Mwaka 1995 haiendani na kasi ya uzalishaji na shughuli za kiuchumi za wananchi...
Wakuu! Habari za muda huu, sijui ni nani anayewashauri hawa TANROAD wa Iringa, mwezi wa pili mwanzoni waliipa tenda ya kuziba viraka kwenye Barabara ya Iringa to Dodoma Kampuni iitwayo TS Solutions (T) Limited ya Kipunguni, Kizinga area Dar es salaam.
Kampuni hii imefanya kazi hiyo katika...
MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi
Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.