matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msimu Wa Kupanda Miche Ya Matunda Umefika Sasa.

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  2. L

    Tanzania yavuna matunda makubwa kwenye maoensho ya CIIE

    Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi zimeshiriki na kupiku idadi ya nchi shiriki za mwaka uliopita. Likiwa ni jukwaa la ufunguaji milango na...
  3. Mbolea gani inafaa kuweka kwenye kahawa inayoanza kuzaa matunda?

    Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban. Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu wa kujua mbolea sahihi.
  4. G

    Nahisi niliuziwa machungwa yaliyoivishwa kwa kekimikali zilizoanza kutumika Mbeya kuivisha matunda, Mungu atusaidie lakini Idara zetu zimelala mno

    N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii. Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
  5. DOKEZO Mbeya: Kemikali za kuivisha Ndizi zimehamia katika matunda mengine, Wataalam wa Afya watueleze kama ni salama

    Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo waaminifu katika biashara hiyo. Kawaida ndizi zinapokomaa huwa zinavunwa na kuvundikwa kwenye sehemu...
  6. Wengi hatuna utamaduni wa kula matunda na kunywa maji.

    Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini. Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto. Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha nyani. Watu wa mijini wanajitahidi kula matunda sana. Watu wa vijijini hasa wanaume wakienda mijini...
  7. Tuwasaidie wanawake wanaotembeza matunda na watoto mgongoni

    Nakutana na kundi kubwa la wanawake wakiwa wamebeba watoto wadogo wakitembeza matunda mazingira ya jua Kali sana nawaonea huruma ukikuta dada anateseka juani na mtoto fanya kama unatoa sadaka tu kwa kununua matunda yake utabarikiwa sana
  8. Ni wapi naweza pata haya matunda kwa hapa Dar es salaam?

    Kichwa cha habari hapo kimejitosheleza Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au Pitahaya Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
  9. B

    Maandamano yetu ndani ya JF yanazaa matunda zaidi ya yale ya Gen-Z ?

    Baada ya takafuri nzito, kwa kiasi fulani maandanano yetu kupitia maoni yetu hapa JamiiForums yameanza kufanikiwa. Tunaona viongozi walio na akaunti verified JF wanajitokeza kuandika masuala ya kisera na kujaribu kushirikisha umma kwa majadiliano mfano waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Lameck...
  10. S

    Sijapata choo kwa muda mrefu licha ya kumeza vidonge vya kuharisha

    Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita. Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia...
  11. KERO Dampo la ‘Bakhresa’ Mkuranga, linahatarisha afya za wakazi Dar na Pwani. Matunda kutoka dampo hilo yauzwa tena sokoni

    Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
  12. Mti wenye matunda sharti upigwe mawe

    Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho nacho kwa ajili ya kuwapigania wananchi wake. Sote nimashaidi tumeishuhudia kazi iliyo tukuka ya P...
  13. Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  14. Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote! Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
  15. Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  16. B

    Mazungumzo ya amani, Israel na HAMAS Cairo yanazaa matunda

    1. Kibri chote kwishney, amri ni moja; kila mtu kaufyata: Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja! 2. Iran kaombwa kutulizana, Natenyahu kuufyata; mazungumzo kuwa ya kiutu uzima: 3. Hapo sasa kilichobakia "face saving" yaani kuwatoa wacheza kimaso maso. Tayari...
  17. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  18. Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
  19. Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  20. Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…