matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Msaada, nataka ku-supply matunda kwa kiwanda cha Bakhresa

    Wakuu habari zenu, Kichwa cha habari kinavyosomeka, Ninaomba yeyote mwenye kujua ni namna gani tender za ku-supply matunda kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha bakhresa zinavyopatikana kuna fursa ya mapera mengi sana hapa nilipo, nikaona naweza kuexploit hii kitu ikawa fedha. Msaada tafadhali
  2. Erythrocyte

    Ziara ya BAVICHA Magereza yaanza kuzaa Matunda. Mahakama ya Songwe yamuachia huru Moses Mwaifunga aliyesoteshwa jela kwa miezi 5

    Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa. Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali...
  3. yasini jawadu

    Naomba kuelekezwa kutengeneza barafu na juice ya Matunda

    Habari wapendwa wa JamiiForums. Naomba mwenye elimu ya kutengeneza barafu na juice ya matunda mchanganyo wa nanasi ndizi na parachichi aweze kunisaidia, email yangu ni yasinijawadu@gmail.com Asante sana. Pia soma: Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako
  4. Idugunde

    Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

    Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda. Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Mradi ambao utazalisha ajira...
  5. Tutor B

    Kilimo cha matunda - passion fruits

    Kwa anayejua abc kuhusu kilimo cha mtunda damu - passion fruits, naomba tuweze kupanuana maarifa kwa yafuatayo:- 1. Ardhi inayofaa kilimo hiki au hata green house 2. Upatikanaji wa mbegu bora 3. Soko la matunda hayo 4. Miche / shamba litadumu kwa muda gani ... Nashukuru kwa mchango wakujenga...
  6. ommytk

    Hivi kwanini matunda au mazao yanakuwa na msimu?

    Wadau hili suala sijui ni La kisayansi au sijui niliiteje .napata tabu sana nawaza hivi kwanini matunda yanakuwa na msimu yaani mfano sasa hivi uwezi kupata chungwa wala chenza ni Msimu wa Embe. Mara msimu wa nanasi au hii inatoka nasisi wakulima tunavyopanda au ebu wataalam mtujuze kwanini...
  7. ommytk

    Kwani TANROAD barabarani wasipande miti ya matunda kuliko hii ya sasa

    Wadau nakumbuka kipindi cha zamani posts kulikuwa na miti ya mikungu kila kona mpaka maeneo ya Osterbay hadi baadhi sehemu za Masaki. Ukienda Morogoro kuna barabara ina miembe dodo pande zote yaaani kulikuwa na miti ya matunda barabarani kwanini hii isiwe moja ya taratibu kuliko hii miti ya...
  8. sabuwanka

    Kama ni muhimu ule usiku, kula matunda. Kama huna matatizo ya kiafya usile itakusadia kupunguza uzito uliokithiri

    Wakuu salamu, nimendika sentensi hiyo hapo juu ambayo ni ushauri ulitolewa kwa mtu anayetaka kupunguza uzito, nimepitia thread moja humu mdau akieleza jinsi vyakula vya wali na ugali vinavyochangia kuongeza uzito hasa kwa wanaofanya kazi za maofisini, maana muda mwingi wanakuwa wamekaa na hata...
  9. Kelela

    Matunda gani unaweza kula na wali/ubwabwa?

    Tukiacha parachichi na ndizi ambayo ni maarufu, je ni matunda gani mengine tunaweza kula sambamba na ubwabwa?
  10. Moshi wa Kumbi

    Biashara ya matunda

    Habari za wakati huu wakuu. Katika pita pita zangu mitandaoni. Nimekutana na hii machine. Haraka haraka likanijia wazo. Je, kama nitaweza kuhifazi matunda kwa kutumia mifuko ya plastik na kuweza kibana vizur kwa machine hiyo. Swali langu liko hapa je inawezekana kuhifadhi matunda kwa njia...
  11. Aqua

    Dawa ya kuzuia wadudu baada ya kupruni miti ya matunda

    Habari wanajamvi, Naulizia ni dawa gani naweza kutumia baadaya kupruni miti ya matunda kupaka au kuspray sehemu niliyoikata lengo likiwa ni kuzuia wadudu au magonjwa yanayoweza kupitia sehemu hiyo iliyokatwa.Naomba niujulishwe jina la dawa ambayo hutumika kwa lengo hilo kutoka kwa mtu ambaye...
  12. K

    Hongera BAVICHA na BAWACHA mmefanya kazi nzuri matunda tunayaona

    Umoja wa vijana na umoja wa wanawake umeimarika na umetoa viongozi wengi wa leo na kesho wa Taifa hili. BAWACHA nadhani ndio umoja wa wanawake wa vyama vya siasa uliowahi kusimamisha wanachama wengi kugombea Ubunge Afrika na hata Duniani. Lakini pia umoja huu si tu umetoa wagombea wanawake Bali...
  13. OllaChuga Oc

    Biashara ya matunda (Fruit Salad)

    Wakuu khabari za asubuhi, mimi kijana wenu mpambanaji ..naendelea kutafuta ni kwa namna gani naweza kujiongezèa kipato. Katika pita pita za town naona kuna fursa ya kufanya hii biashara ya matunda mchanganyiko au kachumbari ya matunda (fruit Salad). Nipeni muongozo wakubwa, naomba kujua...
  14. FrankLutazamba

    Ni jambo zuri Serikali inavyohimiza tupande miti ila napendekeza ingehimiza tupande miti ya matunda kama machenza mpaka katika barabara zetu

    Serikali yetu pendwa inaendelea kuotesha maelfu ya mbegu za miti kwa ajili ya kupandwa, pendekezo langu wangekuwa wanapanda miti ya matunda inayodumu na kuchanua kama mipera, machenza, michungwa na kadhalika hata katikati ya majiji katika barabara badala ya miti isiyo zalisha matunda. Ila katika...
  15. Lily Tony

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda. Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu mkubwa. Pia ipo huduma ya kufanyiwa layout na kupandiwa miche yako shambani kwako,team ya wataalamu...
  16. Mtini

    Watalii wa kimarekani kuanza kumiminika Tanzania? Maamuzi ya Wizara ya Utalii tuliyoyabeza kuanza kuzaa matunda?

    Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
  17. MK254

    Biashara ya matunda kutoka Kenya kwenda Ulaya yazidi kunoga kwenye kipindi cha Corona

    Yaani haijatokea tena kwenye historia kipindi ambacho mauzo yetu ya matunda Ulaya kuwa kiasi hiki, yaani Mkenya ni king'ang'anizi kwenye kila hali. Hongera sana "bandugu" ====== Horticulture shrugs off Covid-19 to earn Kenya Sh72bn in five months By GERALD ANDAE Earnings from...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Zijue faida mbalimbali za kula papai kiafya

    Papai, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho muhimu vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, yakiwemo yale hatari ambayo huchukua maisha ya watu kila kukicha. Leo soma faida za tunda hili ili ujiepushe na maradhi...
Back
Top Bottom