Kuna madai mengi mtaani yanayosema kuwa mwanamke akiwa kwenye hedhi husababisha kunyauka kwa mboga na matunda ikitokea amechuma. Mdau mmoja wa JamiiForums amendika pia kuhusu suala hili.
Baadhi ya tamaduni huwazuia kabisa wanawake wasichume vitu hivyo. Kisayansi, madai haya yana ukweli?
Kiwi ni tunda lenye afya zaidi. Massa yake yana vitamini vya kikundi B (haswa mengi ya B6), A, B, D, E, asidi ya folic, flavonoids, antioxidants, asidi ya kikaboni, protini ya mboga (actinidin). Matumizi ya kiwi mara kwa mara yanaweza kupunguza shinikizo la damu kwa sababu ya ulaji wa potasiamu...
Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo.
Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya...
Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu.
Kwa...
Kuna huu msemo .
Mwanamke akiwa kwenye hedhi haruhusiwi kuchuma mboga za matunda kama vile nyanya maji,nyanya chungu,pilipili washa na hoho.
Pia vilevle haruhusiwi kupita au kushika majani ya hizo mboga akiwa kwenye siku zake.
Kwa hiyo kama ni kweli ndo ivo kuna uhusiano gani kati ya hedhi...
"Ndani ya mwaka mmoja ailetea Tanzania zaidi ya trillion 43"
Ikiwa ni mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kushika atamu, kumekuwepo na mijadara inayozungumzia juu ya mwenendo wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kusafiri ng'ambo tofauti za nje ya nchi ikilinganishwa na...
Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu.
Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu...
Isingekuwa rahisi mimi kuendelea kukuona ukiongeza maji kwenye mboga ya mchuzi ili mimi na ndugu zangu yatutoshe kwaajili ya ugali. Isingewezekana mimi kuendelea kukutazama ukifokewa na vijana wadogo unaoweza kuwazaa, eti kisa kukosa hela ya kulipa madeni yao.
Isingefaa mimi kuendelea kukuona...
Habari wakuuu.
Nimekuja mbele yenu kutaka msaada kwa mwenye ujuzi wa biashara ya juice za matunda fresh location ni Dar.
Je, ni zipi changamoto za biashara hii.
Je, soko lake likoje na ni kwa namna gani naweza kuingia katika soko la ushindani.
Je, mtaji ambao unaweza kuendesha biashara hii...
Pili Mwinyi
Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotangazwa na rais wa China Xi Jinping mwaka 2013, kwa sasa linaonekana kuzaa matunda matamu kwa nchi zote zinazoshiriki kwenye pindekezo hili. Ukiwa sasa huu ni mwaka wa tano tangu Mkutano wake wa kwanza wa ushirikiano wa kimataifa...
Chochote unachokifanya huwa kina matokeo; matokeo yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Itategemea na namna ulivyokipangilia. Pia kuna kitu nimejifunza, ukiwatendea watu wema ipo siku ule wema wako ulioutenda utakulipa.
Hasa, ukiwasaidia hawa watu:-
Watoto wasiokuwa na wazazi na wakapoteza tumaini...
Binafsi nimeshangazwa na ukimya wa wapinzani baada ya tukio la kuungua moto soko la Karume. Sijasikia pole yoyote kutoka kwa upinzani si CHADEMA wala ACT walioneshwa kusikitishwa na jambo hilo. Ni kimya kikuu kimetanda.
Ni wapinzani hawa hawa ambao polisi wakidhibiti mikusanyiko yao haramu...
Na Ronald Mutie
Kenya, Eritrea na visiwa vya Comoro ndio nchi tatu ambazo waziri wa mambo ya nje wa China alitembelea mwaka huu.
Ziara ya Wang Yi kwenye nchi hizo imeendeleza desturi ya China kwamba safari ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje wa China itakuwa Afrika.
Kila ziara huwa na...
Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na matunda mengine.
Msaada wenu wakuu, nahitaji kupanda miti yake, ikiwezekana hata minne.
Natanguliza...
Mwanzoni tulijua wamachinga wako katikati ya mji, wakiuza vitu mtkononi au kwa kutandika chini, vitu hivi vingi ni vitu vya kiwandani kama nguo, nk, lakini huu uongozi wa Bi Samia, unatuambia hata mama anaeuza maembe dodo muda wa usiku pale Kibaha Maili moja nae ni mahinga anachafua mazingira...
Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee.
Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa...
Habari za jioni wanajamvi,
Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake.
Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
Inawezekana kila tunalolifanya, hamtuelewi au mnapotoshwa na hivi vyama uchwara na baadhi ya wasaka tonge,mbali ya ilani zetu kedekede ambazo zinazidi kufurika hadi hatuna pa kuziweka, bado tunaona Watanzania wamejawa na shauku ya kama kuna jambo wanalihitajia ili waone tumefikia kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.