mauaji nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabora: Askofu KKKT, Isaac Laizer: Ataka maombi yakitaifa kukemea utekaji, mauaji

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo. Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
  2. Pre GE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

    Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano? Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
  3. Mimi baada ya Jana tayari nimeshamjua aliye nyuma ya Utekaji na Mauwaji ya sasa nchini. Wewe mwana JF bado hujamjua tu?

    Naiomba ile Tume iliyoundwa wala isitupotezee muda, bali iache tu Maisha yaendelee kwakuwa Mtendaji tumeshamjua.
  4. Mwili wa Daktari Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu waokotwa maeneo ya Malolo, Tabora

    Mwili wa Dr. Dismas Chami aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Tabora umeokotwa maeneo ya Malolo, Tabora asubuhi ya leo. Dr.Chami aliondoka nyumbani (Kaliua) Jumatano ya September 4 na kumuaga mkewe kuwa anakwenda mjini Tabora kikazi na angerejea kesho yake. Hata hivyo...
  5. Je kesi ngapi bandia zipo mahakamani?

    Najaribu kutengeneza picha ya kihindi tu mimi ndiye director wa film, nitaongea na vijana wangu toka ndani ya idara yangu ambao siyo maarufu na kuwaambia tutengeneze filamu nzuri sana, na nyie mtakamatwa na kuwa wauaji Mtasota rumande kesi itasikilizwa harakahaka, karibu na uchaguzi mkuu...
  6. Mambo ya kutisha yanayoendelea nchini ni ishara kuwa nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na hatia

    Matukio ya kutisha na ya kishetani, kama yale ya utekaji wa watu na kuwapoteza, watoto wadogo kuuawa, kutawaliwa na watu wenye mioyo ya ukatili wa kupindukia, uovu kupewa heshima dhidi ya wema, ni ishara kuwa, yamkini nchi yetu ipo katika laana kwa sababu imetiwa unajisi na damu za wasio na...
  7. J

    Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  8. J

    Waziri Masauni: Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanauawa. Aunda kamati kuchunguza matukio ya mauaji nchini

    Waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema amewasikia kupitia mitandaoni mzazi wa polisi aliyefia mahabusu Mtwara na wazazi wa watu waliopotea Dar es salaam wakitoa malakamiko yao, na ameahidu kulifuatilia suala hilo kwani Serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanapoteza maisha. Masauni...
  9. Kukithiri mauaji nchini: Waziri Masauni kukutana na viongozi Polisi kujadili. Aagiza wanaosajilia watu laini za simu wasakwe

    WAZIRI MASAUNI AWAITA VIONGOZI POLISI KUJADILI MATUKIO YA MAUAJI NCHINI, AAGIZA WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI, WANAOSAJILIA WATU LAINI ZA SIMU, WANAOSAMBAZA PICHA CHAFU WASAKWE Na WMNN, Dar es Salaam KUTOKANA na mauaji ya kijamii yanayoendelea nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  10. S

    Jeshi la polisi na wananchi tushirikiane kukomesha mauaji yanayoongezeka nchini sasa

    Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia! Mfano wa matukio kwa uchache! I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa! ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
  11. Sababu za ongezeko kubwa la visa vya mauaji

    VIP
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…