Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana.

UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda.

Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge linaloendeleza Mauaji Nchini.

Yupo Mwanaharakati alitekwa na tangu atekwe hajawahi kupatikana hata Sasa, Mwanaharakati huyu taarifa zinasema wakati ule Amefungwa Gerezani, Genge hili lilimuambukizia Kwa makusudi Virusi vya VVU Kwa kumchoma na Sindano yenye Damu yenye vimelea Vya VVU.

Makonda ,kumbuka siku zako ulipolia ukawa unatoa Makamasi na Kuishi kama digidigi.

Mafwele , Uchawi unaouaminia, Mungu wa Mbinguni kupitia jina la YESU KRISTO ameuvunjs vunja.

Siku yaja !!. Nyinyi simnadhan Huu moto utaisha Kwa Kuteka na Kuua na kuhakikisha Et Samia anakaa MADARAKANI, HILO ONDOENI KICHWANI !!.
 
Kama wanaume kweli kama mnavyojinasibu kwenye Keyboard mkamchukue
 
Tuna vijana wa hovyo sana...
Mpo tu nyuma ya keyboard, wana si muingie front?

Kuna watu wana hamu na nyie sema tu hamjui
 
Aibu naona mm wote hao inasadikika wanatoka kanda ya ziwa ...ila sisi kanda ya ziwa tuna watu poa hao inawezekana ni wakimbizi
 
Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana.

UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda.

Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge linaloendeleza Mauaji Nchini.

Yupo Mwanaharakati alitekwa na tangu atekwe hajawahi kupatikana hata Sasa, Mwanaharakati huyu taarifa zinasema wakati ule Amefungwa Gerezani, Genge hili lilimuambukizia Kwa makusudi Virusi vya VVU Kwa kumchoma na Sindano yenye Damu yenye vimelea Vya VVU.

Makonda ,kumbuka siku zako ulipolia ukawa unatoa Makamasi na Kuishi kama digidigi.

Mafwele , Uchawi unaouaminia, Mungu wa Mbinguni kupitia jina la YESU KRISTO ameuvunjs vunja.

Siku yaja !!. Nyinyi simnadhan Huu moto utaisha Kwa Kuteka na Kuua na kuhakikisha Et Samia anakaa MADARAKANI, HILO ONDOENI KICHWANI !!.
Hatimaye wamejulikana
 
Back
Top Bottom