Marafiki wa Mama Shio wafichua migogoro yake ya kimapenzi kabla ya kuuawa Usariva, ARUMERU Marafiki wa mwanamke aliyefahamika kwa jina maarufu la Mama Shio (46), mfanyabiashara wa supu katika eneo la Usariva, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Wanasema walikuwa wamemshauri mara kadhaa aachane na...