Mwanamke auawa na kijana ambae walikuwa wakiishi kama mke na mume

Mwanamke auawa na kijana ambae walikuwa wakiishi kama mke na mume

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Marafiki wa Mama Shio wafichua migogoro yake ya kimapenzi kabla ya kuuawa Usariva, ARUMERU Marafiki wa mwanamke aliyefahamika kwa jina maarufu la Mama Shio (46), mfanyabiashara wa supu katika eneo la Usariva, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.

Wanasema walikuwa wamemshauri mara kadhaa aachane na mwanaume aliyekuwa akiishi naye, anayefahamika kwa jina la Gudi (35), kutokana na migogoro ya mara kwa mara baina yao.

Hata hivyo, licha ya ushauri huo, wawili hao walikuwa na tabia ya kugombana na baadaye kurudiana na kuendelea kuishi pamoja.

Haya matukio ya wenza kuuwana yamekithiri sasa aisee dah!🥺

 
Mama mtu wa miaka 46 kuishi na kijana wa miaka 35 ni ushahidi tosha kulikuwa na tatizo mahali, kulingana na mila na desturi zetu. Ingekuwa ni mwanaume wa umri huo kuishi na mwanamke wa miaka 35 hata nisingeshangaa.

Hata hivyo namtakia pumziko la milele.
 
Mama mtu wa miaka 46 kuishi na kijana wa miaka 35 ni ushahidi tosha kulikuwa na tatizo mahali, kulingana na mila na desturi zetu. Ingekuwa ni mwanaume wa umri huo kuishi na mwanamke wa miaka 35 hata nisingeshangaa.

Hata hivyo namtakia pumziko la milele.
Kadiri umri unavyokuwa mkubwa,,,sambamba na utamu huongezeka vivyo hivyo.
 
sharti la kutembea na mshangazi uwe na roho ngumu na usiwe na wivu.
Katika harakati za kutafuta maisha...

Ilifika pahala nipo ugenini nasotea kazi...

Nikabahatika kupata hifadhi kwa mama muuza pombe...

Mara kadhaa tunakuwa wasanii 'ananiita kaka'......... chumbani anaingia jamaa anapiga miti..... mie nalala sebuleni.

NA ASUBUHI JAMAA ANAONDOKA MAISHA YANAENDELEA KAMA KAWA.....

Kizazi hiki level hiyo ya uvumilivu haipo tena.....anyway ni miongo kadhaa iliyopita.
 
Chugastan ..
Yani Mimi nikukatikie KIUNO kila siku nakukojoza, halafu nakuomba unisaidie pesa tena za kwenda kufanya jambo AMBALO linaweza kutusaidia kimaisha unanijibu kunya, kula chuma hikooo shwaaaa
Wameru na Wachagga ndio wanaoongoza duniani kwa kuuana kwa ajili ya mapenzi
 
📌Ifike mahali vikojoleo vibaki kwaajili ya kutolea haja ndogo tu...shubamit kenge wahed,Gaddemit!!!!!

October haijatosha watu wanaliendeleza mpaka November....magaidi yanaviziana kuuana.

#Mapenzi yafutwe!!!!
 
Back
Top Bottom