nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Hakika....Hakuna kitu kibaya kama shida huku duniani
Hasa sisi wenye majukumu na hatuna pa kukimbilia.
Hakika....Hakuna kitu kibaya kama shida huku duniani
Hii tunaita kula na kipofu, na wadogo zetu hawawezi!Katika harakati za kutafuta maisha...
Ilifika pahala nipo ugenini nasotea kazi...
Nikabahatika kupata hifadhi kwa mama muuza pombe...
Mara kadhaa tunakuwa wasanii 'ananiita kaka'......... chumbani anaingia jamaa anapiga miti..... mie nalala sebuleni.
NA ASUBUHI JAMAA ANAONDOKA MAISHA YANAENDELEA KAMA KAWA.....
Kizazi hiki level hiyo ya uvumilivu haipo tena.....anyway ni miongo kadhaa iliyopita.
Kabisa...Hii tunaita kula na kipofu, na wadogo zetu hawawezi!
Vijana hawajui ku focus mapenzi yanawatoa kwenye reliKabisa...
Wataleta mambo ya wivu na kusahau LENGO la MSINGI.
YapVijana hawajui ku focus mapenzi yanawatoa kwenye reli
natamani niwatag marioo wote na wasome hapa waeleweYap
Wakati mapenzi ni service ya kawaida sana.
...mtu ukibebwa shikilia.....
Mie nilikuwa nasaidia kupima pombe...kuosha vyombo vya pombe...kukusanya hela kwa walevi na usafi kwa ujumla....NA HAYO YOTE NIKAZIDISHIWA>>>NA KUPEWA UKARIMU WA KIFALME..... 🙂
Oh Marioo.Marafiki wa Mama Shio wafichua migogoro yake ya kimapenzi kabla ya kuuawa Usariva, ARUMERU Marafiki wa mwanamke aliyefahamika kwa jina maarufu la Mama Shio (46), mfanyabiashara wa supu katika eneo la Usariva, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha.
Wanasema walikuwa wamemshauri mara kadhaa aachane na mwanaume aliyekuwa akiishi naye, anayefahamika kwa jina la Gudi (35), kutokana na migogoro ya mara kwa mara baina yao.
Hata hivyo, licha ya ushauri huo, wawili hao walikuwa na tabia ya kugombana na baadaye kurudiana na kuendelea kuishi pamoja.
Haya matukio ya wenza kuuwana yamekithiri sasa aisee dah!🥺