Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amethibitisha kukamatwa kwa Watu hao katika maeneo tofauti ndani ya Tanzania ambapo...