Polisi yakamata watu 4 wanaohusika na kifo cha Mchina, Baozhang Ge

Polisi yakamata watu 4 wanaohusika na kifo cha Mchina, Baozhang Ge

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amethibitisha kukamatwa kwa Watu hao katika maeneo tofauti ndani ya Tanzania ambapo walithibitha kuhusika na mauaji hayo pamoja na kuchukua kiasi cha fedha shilini milioni tisa.

Baozhang Ge alikuwa Mmiliki wa Kiwanda cha Kuchakata Makopo maeneo ya Mabibo, ambapo aliuawa Mei 16, 2026.

Soma pia Raia wa China auawa na Walinzi wa Kampuni yake na kuondoka na Tsh Milioni 10


 
Huo ndio utendaji wa jeshi la polisi usije kuuliza kwanini wananchi wanalichukia jeshi la polisi.
===============

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge.

HKdLbF1WIAA0kI8.jpeg
 
Yule aliyewahi kuuliwa kigogo sambusa mbona wauwaji walishikwa na wametoka wanatamba nje huku hawakukaa hata mwaka. Usiamini show off za jeshi la polisi vitendo vya ufunjifu wa sheria vinafanyika waziwazi, mtu akienda kituoni kutoa taarifa mhusika anakamatwa ukitoka kesho yupo mtaani. POLISI acheni kula na vijana a.k.a 10pasent wakipiga matukio mnakula mgao mwenye haki anadhulumiwa cc Msimbazi police.
 
Back
Top Bottom