Japo yawezekana kuna mambo yanaweza kukidhi lakini siyo sahihi kuchukua bunduki na kuua police.
Kama alidhurumiwa kwa nini hakuenda kulipoti police?
Yani wanasiasa wa upinzani mnachanganya RAIA kabisa.mnamtetea anayejichulia sheria mkononi na kwenda kuua watu? You can not be serious?
Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii
Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
daraja la selander
hamza
hamza hassan mohamed
hayati
hayati dkt. magufuli
kifo
madini
magufuli
mauajiyapolisipolisi
rais
rais magufuli
risasi
selander bridge
shambulio
ubalozi wa ufaransa
video
watatu
Kimsingi kuna kitu hakifahamiki vizuri kwa wananchi, vyombo vya usalama nacho ni neno UGAIDI na kama wanakifahamu vizuri basi wanapotosha purposely.
Neno ugaidi lina maana ya Tishio, au kitendo kinacholenga kutisha watu kwa malengo ya kisiasa, kijamii, na kiusalama, hii ndio maana halisi...
Anaandika Christopher Cyrilo.
___
PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza.
Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia...
Kwenye familia nyingi kuna watu hasa vijana wanaopitia majaribu mengi ya kimaisha wakati wakijaribu kujua na kujiuliza kwanini wapo hapa Duniani. Kwenye kipindi hiki hawa ndugu wengi wakiwa vijana ni wakati mgumu sana kwenye maisha yao.
Haya matukio yamekuwa yakitokea kila siku lakini wengi...
Kuna japo kuandika kwangu sio mzuri.
Mnaokumbuka kijana watunisia aliyekuwa msomi na kuanza kutafuta kujiajili kipindi cha utawala uliokuwa unafanya watakayo, Mohamed Bouazizi baada ya kufanyiwa manyanyaso alijipiga kiberiti na kufanya vijana wote kuondoa serekali kwa maandamano kupinga...
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
Ni nani?
Katumwa na nani?
Yuko na akina...
daraja la selander
hamza
kukamatwa
kupambana
kuuawa
majeshi
mauaji dar
mauajiyapolisi
mbinu
mhalifu
mikono
police
polisipolisi tanzania
risasi
selander bridge
shujaa
tukio
uhalifu
wakati
weledi
Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati.
Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na wenziwe, niwapongeze wananchi waliopaza sauti kuzuia polisi kushambuliana.
Lakini pia niwapongeze...
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
Wanabodi,
Taifa bado liko kwenye shock ya nini haswa kilichotokea kwa askari wetu?
Mauaji haya ya Polisi Wetu ni Ujambazi tuu, ni Ugaidi au Retaliation?. Wakati vyombo vya uchunguzi vikiendelea na kazi yake, Sisi Watanzania kama taifa lazima tujiulize, Nini Kifanyike Kukomesha Hali Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.