Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video?
Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
Agosti 6, 2024
Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram.
Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video (Video content creator)
Tunatafuta mbunifu mwenye kipaji na ari ya kazi kujiunga na timu yetu.
Majukumu:
1. Kuunda na kuhariri video za masoko na mitandao ya kijamii.
2. Kubuni michoro ya matangazo na machapisho.
3. Kushirikiana na timu ya masoko...
Na Mwandishi wetu.
Mwenyekiti Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Tanzania, Shekhe Mussa Kundecha amefunguka na kukemea wazi wazi kitendo cha Mwanaharakati wa mitandaoni Maria Sarungi kuweka chapisho la Picha za Kumdhihaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu na kusema...
Tume ya Ulaya imezitaka tovuti tatu kubwa zaidi za video za ngono duniani kutoa maelezo kuhusu hatua walizochukua ili kulinda watoto dhidi ya kufikia maudhui yao na kuzuia ukatili wa kijinsia.
Uamuzi huo umechukuliwa ili kuzilenga kampuni za Pornhub, XVideos na Stripchat chini ya Sheria ya...
Kuna vijana wengi wanatengeneza maudhui ili kujipatia umaarufu au fedha mtandaoni. Hii sio shida, shida inakuja pale ambapo unatumia sura ya mtu bila kuwa na idhini yake. Tulishazungumzia hili kwa ma-mc wanachukua watu video na kuweka kwenye page zao, ambazo video hizo zinakuwa zinatweza utu wa...
Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na burudani kama vile blogi, YouTube, na mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa kwa wananchi na...
Jukwaa la mtandao wa kijamii wa X maarufu kama Twitter, limebadili Sera zake za Maudhui na sasa litaruhusu rasmi watu kuonesha au kuchapisha maudhui ya watu wazima yanayohusisha Ngono ilimradi tu yaandikwe kabisa kuwa ni maudhui ya aina hiyo.
Hatua hiyo inairasimisha sera ya maudhui ya kikubwa...
Wakuu mko vyedi?
Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa.
Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...
Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo
Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika
Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu..
huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni.
Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya.
Kampeni hiyo inatarajiwa...
1: Jason Bourne vs Mission Impossible
2: Into The Blue vs Fool's Gold
3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War.
4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror
5: White House Down vs Olympic Has Fallen
Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa
Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake
Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe....
Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi.
Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023.
Oktoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.