Jeshi la waruga-ruga lilikuwa ni jeshi lililoundwa na mtemi Mirambo. Lilijumuisha watu aliowaokota huku na huko. Wangoni, watu waliokimbia utumwa, mateka wa kivita, na watu wengine waiosomeka.
Inasemwa kuwa mbinu kubwa ya jeshi hili ilikuwa ni kuwatisha adui zao. Walikuwa wakivaa vipande...