Nguo zenye rangi ya kung'aa na urembo mwingi
Mapambo mengi kama, hereni, bangili, pete n.k
Nywele zenye rangi rangi
Manukato yenye harufu kali
'Makeup' nzito
Usivae mavazi yanayokuonesha upo kawaida sana 'casual'
Acha 'headphones' zako nyumbani
Utavaa mavazi tajwa hapo juu ikiwa tu aina...
Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA.
Kama leo yupo UGANDA na vile amevaa barakoa nilitaman amechishe zake na gloves kwasabu hata hivo UG kuna kiubaridi, angepiga...
Habari zenu?
Mashoga wengi huku Temeke wanavaa pensi za jinzi .
Mara nyingi hizi pensi zao zinakuwa na sifa zifuatazo;
- Fupi (hazivuki magoti)
- Zinabana mwili
- Zimetoboka au kuchanika mapajani.
Sasa Mimi nimeanza kuconclude kuwa kila kijana ninayekutana naye barabarani amevaa hivi najua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.