Nguo zenye rangi ya kung'aa na urembo mwingi
Mapambo mengi kama, hereni, bangili, pete n.k
Nywele zenye rangi rangi
Manukato yenye harufu kali
'Makeup' nzito
Usivae mavazi yanayokuonesha upo kawaida sana 'casual'
Acha 'headphones' zako nyumbani
Utavaa mavazi tajwa hapo juu ikiwa tu aina...