Migogoro Wa Ardhi unaoendelea Ngorongoro umekuwa ukijengewa dhana kadhaa ili ikubalike na wengi.
Mara ni Mpango wa kuokoa uhifadhi, mara kulinda masalia ya wanyama, mara kulinda vyanzo vya maji, mara kulinda malikale (labda Wamasai wasikanyage fuvu la kale au nyayo labda wanadhani Wamasai ni...
Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia...
Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa.
Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala.
Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya
Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:-
01. Usiwe na haraka kwenye kufanya muamala, haijalishi mteja atakuwa na haraka gani. Mruhusu aondoke kama anaonekana ana haraka, kwa...
wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa jumla juu ya kinachoendelea baadhi ya maeneo nchini.
Dada yangu ni binamu hapa tumpe jina la “Bi Dada”...
Anonymous
Thread
dada
dada zetu
iangalie
makini
mawakala
serikali
uarabuni
Habari zenu,
Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom.
Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa wanabana sana Commission kwenye miamala ya kuweka na kutoa.
Hii hali imeenda mbali zaidi kwani hata...
Kwa mliowahi kutembea nje ya Africa naomba mnipe uzoefu wenu mliyoyaona Uko nje ya Afrika hususani kwenye Swala la usafiri wa mabasi yanayoenda safari ndefu kutoka Mji fulani kwenda mwingine maana kwa Tanzania kuna usanii mwingi kwenye usafiri wa mabasi.
Kama Kuna changa Moto ulishawai kutana...
Wasalaam
Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao.
Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM
Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka.
Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii
What a pity?
Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA,
Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
Mkurugenzi Ilemela amhakikishia Mwenezi Makonda ndani ya wiki mbili kukarabati eneo linalotuama maji katika stendi hiyo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda kimetoa muda wa siku 4 hadi kufikia tarehe 17 Novemba, 2023...
Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.🤔
...
Unazi pembeni!!!
Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika.
Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni mawakala wao 💔 hawana mawakala kabisa?
Kwanini SSB wasifanye kampeni kubwa ya kupita kila kibanda cha...
Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini.
Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k..
Ushauri wangu Kwa serikali lazima...
Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?
Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa...
MBUNGE NDAISABA ASHIRKI HAFLA YA MIAKA 10 YA CRDB KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI KUPITIA MAWAKALA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro tarehe 08 Mei, 2023 alishiriki Hafla ya kuadhimisha miaka 10 tangu CRDB walipoanza kutoa Huduma za Kibenki kupitia Mawakala ambapo Hafla hiyo iliandaliwa na...
"Inasikitisha sana kuona Kiongozi fulani au Msanii fulani au Mtu tu anaibuka na Kutangaza Utajiri wake huku akitudanganya Watanzania kuwa ameanzia mbali hadi kuwa hivyo wakati kumbe Ukweli ni kwamba ama Yeye ni Shoga au ni Wakala Mkubwa wa Kuwauza Vijana na Watoto kwa Matajiri wapenda Mashoga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.