mawakili wakizicha ngumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video: Mawakili wakizichapa ngumi wakati wa mapumziko kesi ya Tundu Lissu

    Hali ya mvutano imetokea baina ya mawakili wa Jamhuri na baadhi ya mawakili wa upande wa Tundu Lissu, pamoja na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakigombea sehemu ya kukaa ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam. Mvutano huo ulijitokeza baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…