mawasiliano

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act No. 12 of 2003, is an independent Authority for the postal, broadcasting and electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission. The TCRA is accountable to the Communications and Technology Ministry. The Information Communication and Technology (ICT) sector reform in Tanzania is notable in that development was influenced by regional, political (national) and technological factors. Tanzania is one of the few African countries to liberalise the communications sector whereby the Converged Licensing Framework (CLF) is used as a key strategy, in terms of the Tanzania Communications Regulations. Since inception in 2003, the TCRA has issued a number of regulations to administer the sector, but still faces a number of challenges such as the roll-out of services to under-serviced rural areas.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Tanzania: Takwimu za Mawasiliano kati ya Juni 2021 - Juni 2025

    Julai mwaka jana, wakati anawaapisha Manaibu Kamishna wa Polisi (DCP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi (SACP) wa Jeshi hilo, Rais Magufuli alisema amepata taarifa za rushwa ndani ya Jeshi la Polisi inayokadiriwa kuwa kati ya Sh bilioni 60 ambazo zililipwa kuwanunulia nguo na vifaa vingine...
  2. Waziri Silaa ashiriki kupandisha vifaa ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano Kijiji cha Idete (Morogoro)

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro. Mnara huu ni miongoni mwa minara 758 ya...
  3. N

    Nauza simusamsung s21 + 5gram 8 gbstorage 256bei 450,000 maongezi yapo 4 nipo darhaina kipengele labda aje nacho mteja

    Nauza Simu SAMSUNG S21 + 5G RAM 8 GB STORAGE 256 BEI 450,000 INA MIEZI 4 NIPO DAR HAINA KIPENGELE LABDA AJE NACHO MTEJA. MAWASILIANO 0688601539
  4. Hizi simu mnazokamata kwa matapel nashauri zigawiwe kwa jamii kusaidia mawasiliano kama yatima na wajane

    Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama vituon vya YATIMA wajane na wenye kutunxa walioathirika na ...na wale wanaotunza wazee
  5. Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha

    Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450. Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
  6. Mawasiliano ya Kiwanda cha bati Kiboko:

    Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu. Thanks in advance 🙏🙏🙏
  7. C

    Ugumu wa mawasiliano, Taasisi na Ofisi za Serikali

    Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL. Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta usumbufu mkubwa sana kwa mtu mwenye kuhitaji huduma katika Taasisi husika. Kama namba...
  8. U

    Jeshi la Urusi yagundua vifaa vya mawasiliano yaani pagers zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kichina kuwa zimetegwa vilipuzi ndani yake

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel...
  9. KERO Mtandao wa Halotel Tanzania umedorora kwa kiwango cha kushangaza, ukionyesha udhaifu mkubwa katika utoaji wa huduma za mawasiliano

    Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango cha 1GB kwa kila siku tatu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kasoro katika mfumo wa usimamizi wa data au...
  10. Pre GE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  11. UCSAF: Minara 107 inajengwa nyanda za juu Kusini ili kuboresha upatikanaji wa Mawasiliano kwa wananchi

    Minara 42 ya Mawasiliano kati ya Minara 107 inayojengwa kanda ya nyanda za juu Kusini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imekamilika Akizunģumza kupitia kipindi cha #Checkpoint, Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) nyanda za juu kusini Mhandisi Richard Sotery amesema ujenzi wa minara...
  12. Waziri Silaa: Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro kitachochea shughuli za kiuchumi Tanzania na Kenya

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
  13. Naomba mtu mwenye mawasiliano ya mwenyekiti wa UWT Taifa anisaidie au barua pepe yake.

    Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika. Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM. #Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
  14. Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho

    🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho. 👉Malaika ni Gabriel 👉Chakra: root chakra 👉Nambari: 9 👉Kipengele: Maji 👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
  15. Ulega Atoa Saa 72 Mawasiliano Daraja la Gonja Mpirani Yarejee

    ULEGA ATOA SAA 72 MAWASILIANO DARAJA LA GONJA MPIRANI YAREJEE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia...
  16. Je, kuanzishwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ina maaana Mawasiliano yameondolewa katika mambo ya Muungano?

    Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini? Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano. Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika...
  17. Pegasus yakutwa na hatia ya kudukua na kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp. Uamuzi wa Mahakama umetokana na kubaini kuwa NSO ilikiuka Sheria za Mkataba wa Ulinzi wa...
  18. Kilimanjaro: Mvua yakata mawasiliano barabara ya Kizangaze

    Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa na mafuriko. Daraja hilo limeharibiwa na mvua zilizonyesha usiku wa Desemba 20, 2024. Kamati ya...
  19. Balozi Hoyce Temu (PhD) Ahitimu Shahada ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma

    BALOZI HOYCE TEMU (PhD) AHITIMU SHAHADA YA UZAMIVU YA MAWASILIANO YA UMMA Aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 1999 na ambaye kwa sasa ni Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu katika Mashirika ya Kimataifa Geneva Uswisi, Mhe. Balozi Dkt. Hoyce Anderson Temu (PhD) amehitimu Shahada ya Uzamivu katika...
  20. Pre GE2025 Wenje akiri kufahamiana na Abdul (Mtoto wa Rais) na ana mawasiliano naye

    Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema. Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…