Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kimefanikiwa kuziunganisha mahakama 52 nchi nzima na Mkonga wa Taifa wa Mawasiliano.
Kitendo hicho kitasaidia urahisi wa mawasiliano miongoni mwa mahakama mbalimbali hivyo kuwezesha uhamishaji wa mafaili, Jambo litakalopunguza muda wa kufuatilia rufaa...
Hapa chini ni takwimu zilizotolewa na TCRA kuhusiana na mgawanyo wa soko miongoni mwa makampuni mbalimbali ya mawasiliano hapa nchini.
Wasiwasi ambao Watanzania wengi tunapaswa kuwa nao kutokana na takwimu hizi ni uwezekano kwa serikali hii kuzi "Fastjet"-isha Vodacom, Tigo, Airtel, nk ili TTCL...
Serikali imesogeza huduma za mawasiliano kwa wananchi wa Chato kwa kuzindua kituo cha Tehama, Telesenta Chato mkoani Geita baada ya kukamilisha usimikaji miundombinu ya mawasiliano kituoni.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe jana alizindua kituo hicho cha Tehama ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.