Nimeona nilisemelee hili mapema kabla kampeni hazijaanza, kiukweli kurugenzi ya mawasiliano CHADEMA imepwaya sana suala la organization ya huu mkutano mkuu. Mtu anaweza kuwaza kuwa uhaba wa vyombo vya habari kwenye Mkutano ni kwa sababu vyombo vya habari vina uoga lakini ukweli ni kwamba...