Mawasiliano kati ya Dar na kusini mwa nchi yamekatika baada ya daraja lililopo Somanga kusombwa na maji.
Ukiachana na daraja hilo, zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, kati ya Lindi na Dar es Salaam yamekatika.
Hali hiyo imetokana na madhara ya kimbunga Hidaya kilichosababisha mvua kubwa...