mawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Lebanon leo wameamka na majira mawili tofauti ya saa yanayopingana

    Wananchi nchini Lebanon wameamka leo wakiwa na majira mawili ya nyakati yanayopingana, huku kukiwa na mzozo kati ya viongozi wa kisiasa na kidini kuhusu ni wakati gani saa zinapaswa kurudishwa ama kusogezwa mbele. Waziri Mkuu wa Muda Najib Mikati alitangaza kuwa mabadiliko ya yataanza mwishoni...
  2. GENTAMYCINE

    Kwa yanayoendelea Simba SC kipi kati ya haya mawili kilikuwa cha muhimu ilipocheza na Vipers FC leo Kampala?

    Je; 1. Simba SC icheze mpira wake wa Samba Loketo ila ifungwe au iambulie sare/suluhu kisha timu na mashabiki tuvurugane zaidi, tuchapane bakora, tuchekwe na watani zetu Yanga SC na mgogoro uzidi Kukua. au 2. Simba SC icheze vibaya kama ilivyocheza leo (tena ikiwa ugenini) Jijini Kampala...
  3. Uhakika Bro

    Wape watoto wako majina mawili ili wajue maana halisi ya uhuru

    Tunazaliwa, tunakuta baba anatuita fulani, mama naye. Kaka pia anatuita hivyo, na dada na ndugu zetu! Kiukweli jamii nzima tumekuta inatuita tu fulanii fulanii. Wapi tulikaa kikao, ni lini tulikubaliana kwamba jina langu, kitu muhimu ninachomiliki na kunitambulisha popote liwe ni hili na sio...
  4. F

    Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

    Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili; 1) Natural predisposition (genetics). 2) Mazingira (malezi na trauma). Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya. Pia...
  5. B

    Benki ya CRDB yakabidhi madarasa mawili shule ya msingi Chuda, jijini Tanga

    Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakibadilishana hati ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo...
  6. R

    Makundi mawili yatakayoambulia aibu 2025

    Kumekuchaa! Heri ya Mwaka Mpya 2023. Siku zinazidi kusonga mbele huku joto la kisiasa likizidi kupaa. Za chini chini zinasema hivi kuna makundi matatu yanayoenda kutifuana huko mbele 2025. A. Kundi A Hili ni lile la waliokuwa madadakani na sasa hawamo tena. Hili ni kundi la wafuasi wa Hayati...
  7. GENTAMYCINE

    Nikiambiwa nitaje Upuuzi wa Kufungia Mwaka 2022 haya Makubwa Mawili lazima yataongoza tu

    UPUUZI #1. " Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal Salum aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam " - Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga. UPUUZI #2...
  8. Patriotic and visionary

    Makosa mawili makubwa ambayo yatagharimu hatma yake

    Wakuu, Wakati anapewa kijiti toka kwa mtangulizi wake, alipewa maagizo mengi atekeleze. Yapo ya muhimu sana yalipaswa kutimizwa mwaka huu unaoisha lakini aliona yataharibu hatma ya muhula wa pili kwake. 1. Uandishi wa katiba Mpya ulipaswa kuanza mwaka huu lakini hakuna dalili yoyote hadi Sasa...
  9. Chizi Maarifa

    Kati ya haya Mawili kipi ni Bora zaidi?

    Nina Sebule kubwa nmemaliza Ujenzi nataka week hii nifunge AC. Nlikuwa naomba ushauri kwenu. Kipi Bora. 1. Kuweka ACs mbili ambazo kila moja ni BTU 12 au 2. Kuweka moja tu yenye BTU 22? Sebule ni kubwa na nataka yote igeuke kuwa Mbeya au Iringa. Yaani ipigwe baridi hasa ikiwezekana hata mtu...
  10. NetMaster

    Mechi ya Simba dhidi ya Ihefu ichezwe uwanja wa Mbeya mjini, Kusafiri takribani masaa mawili na nusu kwenda uwanja wa Ihefu ni kuchoshana tu.

    Timu inatoka Dar kweda Mbeya kwa ndege safari ya takribani saa mawili, timu inafika mjini na kupumzika kwenye hoteli za mjini, mazoezi yanafanyika uwanja wa Sokoine wa hapo hapo mjini unaotumika kwa mechi za mbeya city na prisons. Timu inabidi ianze safari ya masaa mawili na nusu kwa basi siku...
  11. W

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  12. Jidu La Mabambasi

    Haya masuala mawili naomba jibu, Mwalimu kamaliza kazi yake, sisi tukoje?

    Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa na kuyarudia tarehe 22 Oktoba, 1959 wakati akihutubia Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika (LEGCO)...
  13. Lupweko

    Je, ni sahihi adhabu za faini kwa kila kosa kutoka katika makosa mawili kwenda sambamba?

    Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF, Richard Mbaruku akisoma uamuzi wa Kamati yake katika Rufaa aliyokata aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara, amesema mtuhumiwa alikuwa na makosa mawili na uamuzi wa rufaa kwa kila kosa umebaki hivyo hivyo kama ifuatavyo: 1) Offensive behavior -...
  14. masopakyindi

    Barabara Kuu ya Dar-Tunduma imefungwa kwa saa mbili hadi sasa

    Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa. Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa. Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita. Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini. Hii ni absurdity at its best. Unafunga...
  15. Ndondocha mkuu

    Soma upate mawili matatu: Kwa umri huu, haya nambo yafuatayo Nimeyashuhudia na kuyapitia

    Wakuu habari za majukumu mbalimbali ya ujenzi wa Taifa. Ni miezi kadhaa sijaleta thread hapa, tangu nilete ile thread ya jinsi nilivyopoteza 1.8M ndani ya siku chache. Leo nimekuja tushare mambo mbalimbali ambayo nimeyapitia na nimeyaona hadi umr huu, yanaweza kukufundisha au kukupa exposure...
  16. Miss Zomboko

    Kenya 2022 Polisi Wakamata Malori Mawili yakidaiwa Kusafirisha Wapiga Kura Kutoka Uganda

    Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
  17. JanguKamaJangu

    Malori manne ya mafuta yakamatwa yakiingiza vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini, mzigo umetokea DRC

    Malori manne ya mafuta ya Kampuni ya Lake Oil yamekamatwa Mkoani Songwe yakiwa yamebeba shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini ambayo yalikuwa yakitokea DRC huku madereva wa magari hayo wakiyatelekeza. Meneja Ukaguzi wa Kampuni ya Lake Oil, Ali Sharif amesema magari yao yana mfumo wa...
  18. Replica

    Spika amfuma Naibu Waziri kuleta majibu mawili yanayokinzana. Awataka Mawaziri na Manaibu kuyapa maswali uzito

    Leo Spika, Tulia Ackson ametoa mrejesho wa muongozo uliiombwa 20 May 2022 na mbunge wa Handeni, Reuben Kwagilwa ambapo aliuliza lini Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Handeni-Singida kiwango cha lami. Naibu waziri wa ujenzi, mhandisi Msongwe alisema Serikali imeanza ujenzi kwa awamu na...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

    Utangulizi Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo. Mambo Mawili 1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji 2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu...
  20. R

    Uzoefu ukoje wa mitaa ya Malamba Mawili kwa anayeishi huko

    Wakuu msaada tutani. Kuna mwenye amewahi kuishi au anaishi huko malamba mawili anisaidie uzoefu pakoje kwa maana ya ni tambarare au miinuko, vp maji si tatizo? Na mengine yatayofaa
Back
Top Bottom