mayala

  1. T

    Paskali Mayala ni Mchezaji Mzuri sana, eleweni!

    Wengi wamekuwa wakimtabiria kuwa pengine anajikomba ili apewe nafasi. Nakuhakikishia sio kabisa. Ninavyomsoma between the lines, Paskali anawananga sana hawa watawala. Nimehisi inawezekana alishasemwa uso kwa uso na kukanywa sasa kwa kuwa yeye ni mwandishi mzuri na kwa kutumia tasnia yake ya...
  2. A

    Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji wa Serikali

    Kwa kuwa Dkt. Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni ambayo ni nafasi yenye majukumu mengi na mazito ya kiutawala huku akiendelea kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, ni rai yangu kuwa Rais amteue Msemaji Mkuu wa Serikali mpya ili Dkt. Abbas apate...
  3. Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

    Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana. Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu wachache sana lakini mamilioni ya watu tunamjua. Kwa sababu gani? Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu...
  4. I

    Kero za Serikali hii

    Wanaharakati, Kuna inshu moja inanikera sana katika serikali ya awamu hii mpaka nataka nihamie vyama vya upinzani. Kila unapopita ni ujenzi wa miundombinu unaendelea hadi imekuwa kero. Leo najipitia njia ya makaburini Sinza mara pap imefungwa ujenzi unaendelea, nikazunguka njia ya Bagamoyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…