Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu
Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea
Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
Hakuna ubishi juu ya kiwango kizuri kinachooneshwa na aliyekuwa mchezaji wa Yanga Fistok K,Mayele pale Pyramid mpaka sasa Mayele ni top scorer wa timu kitu ambacho kimewashitua baadhi ya timu kama Kaizer Chiefs kuhitaji kandarasi ya staiker huyo wa Pyramid huku taarifa za awali zinasema kuwa ni...
Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha wa mkuu wa Kaizer Chiefs.
Hii habari ni ya imeendelea kushika kazi kwenye mitandano ya kijamii ya...
TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC,
✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji mwingine mpya ndani ya kikosi hicho tofauti na wale waliopo ndani ya klabu hiyo kwa sasa.
Paulo News
Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo.
Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa
Baada ya mo Wafate akima Azam media na wengine
Ila anavyoishiwa nguvu ya pesa kuifanya timu kubwa Akubali ukweli. ahusishe...
Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri.
“Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye mitandao ya kijamii, bado naamini kwa asilimia 100% kwamba nikirudi Yanga mashabiki watanipokea...
Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu.
Morrison
Feisal
Mayele
Bangala
Shaban djuma
Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kimkataba kwenye hivi vilabu vyetu.
Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina...
Kuna namna ambavyo viongozi wa Simba wameamua kuwachezea mashabiki wao. Simba ilivyoenda Misri, stori kubwa ilikuwa ni Mayele kuitembelea Simba mara Mayele kuongea kuelekea mechi dhidi ya Al Ahly kisha boss wao Mo akapost kwenye ukurasa wake kaandika "Niseme au nisiseme" hiyo yote ni namna ya...
“Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania”
Fiston...
Zilizotufikia....
Mayele ni mwekundu.
Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE.
unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye simu,na ameshasaini mkataba wa miaka mitatu ,hivyo kuanzia msimu ujao atachukua namba ya fred ambaye...
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Aziz Ki sio striker ni kiungo ana goli kumi na tatu hadi muda huu na ligi ndo kwanza bado ina mechi za kutosha. Kama ataendelea na consistency hii ( of which I blv he will) anaweza kumaliza na goli zaidi ya 20.
Mayele misimu yake yote miwili hakuwahi kufikisha goli 20 aliishia goli kumi na...
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu.
Natoa sababu zifuatazo
1. Mchezaji huyo kwasasa ana mgogoro na Mashabiki wa Yanga.
2. Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.