mayele

Jason Nono Mayélé (4 January 1976 – 2 March 2002) was a Congolese professional footballer who played as a forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

    Sasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la pili, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup. Game is on.
  2. SAYVILLE

    Kocha Nabi wala Kaizer Chiefs hawawezi kumchukua wala kumtaka Fiston Mayele

    Wakati maumivu ya kuondoka kwa "Profesa" Nabi bado hayajapoa, kumekuwa na uvumi kuwa kuna uwezekano baadhi ya wachezaji akiwemo Fiston Mayele kujiunga naye huko alipokwenda. Ukweli ni kuwa Mayele pamoja na Aziz Ki ni baadhi ya wachezaji aliokuwa anawavumilia tu kutokana na kuwa ni vipenzi vya...
  3. Kommando muuza madafu

    Huyu ndiye Mayele, MVP wa Mwaka huu

    Nimeona nami Mjukuu wa Chief Hangaya nichangie kidogo katika hili kwani nimeona wachambuzi njaa wengi pamoja na yule semaji lenye mikosi Tanzania a.k.a Popoma la MUM bwana Ahamed Ally Kisauti wanalaumu na kusema Kibabu, kazee ka kulalamika Ntibanzokinza anastahili u MVP. Kitakwimu Mayele...
  4. Boss la DP World

    Mayele atoa elimu kuhusu mfungaji bora. Huyu hapa.

    Venus Star na makolo wengine hawataki kabisa kusikia ukweli huu unao wauma mno.
  5. Expensive life

    Mashabiki wa Yanga baada ya kuona Saidooo anamzidi Mayele kwa assist sasa wamehamia kwenye Penati

    Hivi nyie mashabiki wa uto mnaakili kweli? Au ndio kale kamsemo kuwa wenye akili ni wawili tu hapa jangwani? Kwa taarifa yenu saidoo ndiyo top score takwimu zote zinambeba, mzee wa kutingisha manyonyo apite hivi.
  6. D

    Mayele atapokonywa ufungaji bora 2022/23 na Saido?

    Mpaka sasa ubao wa wafungaji bora NBC Premier league unasoma hivi: 𝗠𝗔𝗬𝗘𝗟𝗘➖16 𝗦𝗔𝗜𝗗𝗢➖15 Leo Mayele atakuwa dimbani dhidi ya TZ Prisons huku Saido atakuwa dimbani dhidi ya Coastal Union. Unatabiri nini? Kula Odds za Sokabet hizo Upige Mkwanja!
  7. SAYVILLE

    Mayele apost kukumbushia yeye ni mfungaji bora

    Katika pitapita zangu, nimekutana na post ya Fiston Mayele kwenda kwa Feisal Salum akimtakia kila la kheri baada ya kusaini kuchezea Azam. Mayele akaambatanisha video inayoonyesha assist aliyopata kutoka kwa Feisal katika mechi dhidi ya Coastal Union. Cha kushangaza zaidi ni kuwa goli lile...
  8. Expensive life

    Yusuph Bakhresa amesema bado Mayele na Diara amalize kazi

    Azam fc wameamua msimu ujao kufanya makubwa kwenye mashindano yote watakayo shiriki. Baada ya kupata sain ya mchezaji nyota Feisal, sasa mmiliki wa azam fc tajiri yusuph bakhresa matamanio yake yameamia kwa nyota wawili wa Yanga sc, Mayele pamoja na diara. Tajiri huyo ameapa kuwa iwe iwavyo...
  9. J

    Samatta akiwa kileleni na Mayele kwenye kilele nani zaidi?

    Wote ni washambuliaji wa mwisho, Samatta alikuwa mmaliziaji zaidi wakati Mayelle anatengeneza nafasi pia anamalizia, lakini pia ana spidi na anaweza kufunga goli katika angle ngumu, akienda Ulaya atafanya vizuri zaidi. Naona kama Mayelle ni zaidi, ni mtazamo tu lakini sio vita.
  10. GENTAMYCINE

    Baada ya kuona hawana chao tena CAFCC sasa wanatambia Ufungaji Bora wa Mayele kama sehemu ya Kujifariji

    Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC. Kudadadeki...!! Kila la...
  11. O

    Edo Kumwembe: Yanga itaweza kumzuia Mayele asiondoke?

    ASUBUHI kitandani pale Johannesburg nilikuwa nasikiliza watangazaji wa Afrika Kusini wakimsifia straika wa Yanga, Fiston Mayele. Namna alivyofunga bao moja na kupika jingine dhidi ya Marumo Gallants katika mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kasi yake katika...
  12. M

    Kitendo chenu cha Kufurahia sana Refa wa Mechi yenu kutoka Congo DR Kwao Wakongo mlionao Kutawaponza

    Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo basi ni huyu kutoka Congo DR. Na Watu fulani wasivyo na Siri mpaka akina MINOCYCLINE tunapata Taarifa...
  13. H

    Fiston Mayele kutimka Yanga

    Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al...
  14. Kurunzi

    Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  15. MwananchiOG

    Takwimu Peter Shalulile Vs FK Mayele

    Mayele Vs Peter Shalulile Stats . Dstv PL 🇳🇦 Peter Shalulie mabao 12 NBC PL 🇨🇩Fiston Mayele mabao 16 🇳🇦Shalulile CCL mabao 5 🇨🇩Fiston Mayele CAFCC mabao 6 So far Hawa ndio washambuliaji hatari kusini mwa jangwa la Sahara.
  16. SAYVILLE

    Mpira wa "Anao anao" wa Fiston Mayele unamkosesha soko

    Kwanza niwapongeze Yanga kwa kufika Fainali. Huyo mganga wenu msimuache na akifa endeleeni na atakayemrithisha matunguli yake. Leo nazungumzia goli la pili alilofunga Mayele. Nimpongeze kwa kuwa mshambuliaji mwenye kasi ya ajabu. Ananikumbusha wachezaji wa zamani kina Lunyamila na hata Ronaldo...
  17. GENTAMYCINE

    Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

    Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake. Uzi...
  18. GENTAMYCINE

    Kwa uwezo mkubwa wa Mayele ni Mwehu tu ndiyo atasema Phiri na Baleke wako juu yake

    Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda. Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke? 1. Mayele ana Akili nyingi 2. Mayele ni Mpambanaji 3. Mayele anajituma vilivyo 4. Mayele ana Nguvu 5. Mayele...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Mamlaka zinasubiri nini kumpa ofa ya Uraia Mayele?

    Habari! Kuiga jambo si ujinga, cha muhimu ni kuangalia faida za jambo lenyewe. US. hawana kuchelewachelewa kwenye suala la kutoa offer ya uraia wa kudumu kwa mgeni anayefanya vizuri. Wakiamini yeye au kizazi chake watafanya makubwa kwa Taifa lao. Tusipoteze fursa hii ya Mayele. Akipata team...
  20. Greatest Of All Time

    Mzee wa Jambia: Ukimtoa Mayele Yanga ubora unapungua kwa 50%

    Kupitia kipindi cha michezo cha efm, Wilson Oruma amekaririww akisema kwa kikosi cha Yanga ya sasa ukimtoa Fiston Kalala Mayele basi ubora wa Yanga unapungua kwa 50% Akaongeza zaidi, Mayele pekee yake kwa ubora wake anaibeba Yanga kwa asilimia 50%. Hivyo ili Yanga iwe vizuri inahitaji ubora wa...
Back
Top Bottom