mayele

Jason Nono Mayélé (4 January 1976 – 2 March 2002) was a Congolese professional footballer who played as a forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Namuona mayele ndani ya Simba

    Kiukweli MAYELE ni kama hajafikia matarajio ya Pyramids. Walipomsajili walikua na mategemeo makubwa sana kwake lakini ameishia kumbwela bwela tu, na ukizingatia washatoka kwenye makundi CAF CL naona wakitafuta striker mpya msimu ujao au unaofata wakiachana na Mayele Na kwa jinsi wakongoman...
  2. S

    Anahoji Mshabiki wa Simba: Tulikula 5 mayele alikuwepo ?

    Kumbe bado wapo mashabiki wenye uelewa . Nenda Instagram kwa maelezo zaidi . Nafikiri pamoja na kuto perform pyramid mayele Ana frustration na ile mechi ya Tanzania v DRC alikamatwa vizuri na beki ya stars ya kina mwamnyeto na bacca vijana wa yanga haku score.
  3. Nimepita Instagram account ya Fiston Mayele kuna kitu sikielewi naomba nielimishwe

    Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo. Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja. Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri...
  4. Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

    Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi. Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
  5. Yaliyomkuta Ngasa, Ajibu, Domayo na sasa Fei na Mayele na uwepo wa Majini Yanga

    Tuhuma za Yanga kutupia majini wachezaji wake imenikumbusha nyuma kidogo. Imenikumbusha nyakati kina Ngasa, Ajibu, Domayo, Niyonzima (orodha ni ndefu) wakati wanaondoka Yanga. Wakiwa kwenye piki wakataka kwenda kwingine kutafuta maisha mazuri zaidi ya waliyopata Yanga. Wote hawa walitamani...
  6. Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
  7. Mayele acha kutafuta kiki kupitia Yanga

    Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni wao tunamtakia Kheri Ila tunamkumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu aibu...
  8. Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

    Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
  9. C

    Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

    Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
  10. Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Habari Tanzania, Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es...
  11. Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  12. Mayele si mtu mzuri kabisaaa kha hadi nyunbani...

    MUNGU ATUSAIDIE TUSIKUTANE NAE HUYU BWANA KASHATUPIA HUKO TP MAZEMBE WANALIA PYRAMIDS 1...
  13. Fiston Mayele anazidi kutetema Misri

  14. Kumbe Jana Mayele katia kambani goli moja pekee na la ushindi na hatuambiani?

    Kumbe jana watu wametetema huko kwa farao, Ndugu muhasibu daraja la kwanza ebu njoo huku utupe maoni Yako Mayele ni liability au ni asset OKW BOBAN SUNZU
  15. Fiston Mayele ameshindwa kufunga goli hata 1 wakati timu yake ikiua goli 6 juzi

    Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga. Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
  16. Kwa hili jini ilikuwa halali Mayele akimbie nchi

    Ukweli usemwe Fiston Kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia. Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu mitatu iliyopita!
  17. O

    Edo Kumwembe: Kwaheri kwasasa Fiston Mayele

    ALIKUJA, aliona, alitawala, ameondoka. Fiston Kalala Mayele. Mara yangu ya kwanza kumuona ilikuwa ni katika jiji la maraha la Marrakeich pale Morocco katika maandalizi ya msimu mpya Julai 2022. Hakuwa jina maarufu miongoni mwetu. Baada ya virusi vya corona kuvamia katika kambi ya Yanga na kisha...
  18. Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏 Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
  19. Yanga yavunja ukimya kuhusu kuondoka kwa Fiston Mayele

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee. Mayele mchezaji na mfungaji bora msimu uliopita 2022/23 ametambulishwa rasmi juzi na klabu ya Pyramids ya nchini Misri na...
  20. Kwanini pamoja na Mimi kuwa ni mwana Simba SC, ila namtakia Kila la Kheri Mwamba Fiston Mayele huko alikoenda Pyramid FC?

    1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko. 2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa. 3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…