mayele

Jason Nono Mayélé (4 January 1976 – 2 March 2002) was a Congolese professional footballer who played as a forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Vipers yamtaka Mayele kwa milioni 200

    Mabingwa mara nne wa Ligi Kuu Uganda, Vipers SC wameweka dau mezani kwa nia ya kumshusha kikosi hapo straika matata wa Yanga, Fiston Mayele msimu ujao. Chanzo chao kimeeleza kuwa uongozi wa klabu hiyo umeanza mazungumzo yakimuhusisha meneja wa mchezaji huyo pamoja na uongozi wa Yanga. "Ndiyo...
  2. Takwimu za mayele 2022/2023 zinaogopesha

    Ni watatu Duniani kwa Takwimu bora baada ya Haland na Mbape🔥🔥🔥💚💛💚
  3. Mayele asifananishwe na yeyote hapa Tanzania

    Habari zenu... Kuna vitu vina Shangaza sana,hivi unapataje nguvu yakumfananisha mayele na hao wachezaji wenu wa mchongo. Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa hayo magoli yote ni ya misimu 6 kwanzia azam hadi leo yupo simba. Sasa kuna mwanaume anaitwa...
  4. FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  5. Mayele anafunga mpaka Eid 😄

    Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! 😄😄😄.Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k...
  6. M

    Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  7. Yanga tengenezeni timu yenye wafungaji wengi na siyo kumtegemea Mayele peke yake

    Jifunzeni kwa Simba, ukiangalia mgawanyo wa ufungaji kwenye Simba, utagundua kwamba wafungaji ni wengi na siyo timu nzima kutegemea mfungaji mmoja tu.
  8. Kwa Simba na Yanga, Mayele ni "mfalme" uwanja wa taifa kwa Mkapa

    Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja. Baada ya kukosa tuzo ya ufungaji boramsimu uliopita iliyokwenda kwa George Mpole (Geita) kutamba na kumaliza msimu aki wa...
  9. Utabiri wa mwisho: Nimeambiwa sio Baleke wala Mayele watakaofunga kwenye dabi ya leo

    Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet. Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa. Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo. Kwa...
  10. Bernard Morrison katumwa na Simba kuja mwaribu Mayele....

    Huyu jamaa mshenzih sana.... Kwenye video hapa tunaona wakati mayele kainamishwa yeye anaenda kumtia kidole. Tunaona jinsi ambavyo Mayele anaruka na apotizama kumwona BM anatulia Huyu BM alitumwa na Simba kuja kuharibu wachezaji Yanga. Tutamshusha busha mbwa huyu.... Asije akatuharibia chezaji...
  11. D

    ⚽️ SIMBA na YANGA Jumapili hii, Unatabiri nini?

    Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo! 😂Ushabiki pembeni, Pesa Kwanza!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…