MAZIKO YA ABDULWAHID SYKES 1968
Mazishi ya Abdulwahid Sykes yalifanyika siku ya Jumapili tarehe 13 Okrtoba, 1968.
Mazishi yake yalikuwa makubwa yasiyo kifani.
Ukitoa mazishi ya mwaka wa 1950 ya Sheikh Idrissa bin Saad, muasisi na Khalifa wa Tariqa Askariya na mazishi ya Sheikh Kaluta Amri...