mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Msisimko ndani ya mto Jiuqu ni somo la uhusiano wa binadamu na mazingira ya asili

    Na Gianna Amani Ukiachilia mbali neno wananchi huenda neno lingine lililotajwa na Rais Xi Jinping mara nyingi zaidi katika siku za hivi karibuni ni mazingira, na mara kadhaa ametoa msisitizo juu ya uimarishaji wa uhusiano mpya kati ya binadamu na mazingira ya asili. Mara nyingi Rais Xi Jinping...
  2. IamBrianLeeSnr

    EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  3. BabaMorgan

    Mazingira yana mchango gani katika kukujenga au kukubomoa?

    Kuna utofauti mkubwa kati ya fursa anazokutana nazo mtoto aliyezaliwa New York(USA) na mtoto aliyezaliwa Dar es salaam(TZ). Mafanikio ya mtu ni matokeo ya vitu vingi ila miongoni mwa hivyo vitu ni mazingira yanayomzunguka hususani Jamii. Jamii Ina mchango mkubwa sana hususani mitazamo na daily...
  4. Wordsworth

    Katazo la Mkaa

    Ilirushwa habari kwenye TBC Aridhio tarehe 9 Novemba 2022 ya mkuu wa mkoa wa Songwe Ndugu Waziri Kindamba akipiga marufuku uchomaji wa mkaa katika mkoa wake. Haya. Unamwambia mwananchi asitumie mkaa, atatumia nini? Tuwe na uhalisia tuache kufanya maamuzi yasiyotekelezeka. Maandalizi ya nishati...
  5. R

    Wakazi wa kijiji cha Ng'wan'holo Mwadui na hofu ya maradhi ya maji taka kutoka mgodini

    Wakati Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) likiendelea kuzuia majitaka yenye tope yanayotoka katika mgodi wa Williamson Diamond kuingia kwenye makazi ya watu, wataalamu wa madini wameonya wananchi kutoyasogelea hadi watakapopewa taarifa yapo salama. Maji hayo ambayo...
  6. Suley2019

    Ujanja ujanja na utengenezaji wa mazingira ya kibiashara Ofisi za Serikali

    Salaam ndugu zangu, Natumai wote mu wazima. Leo najaribu kugusia na kudokeza baadhi ya tabia za ujanja ujanja zinazofanyika nje ya Ofisi nyingi za umma. Walinzi au watu wa mapokezi wa sehemu hizi wamekuwa chambo Cha kufanya biashara ndogo ndogo wakitumia chambo Cha wananchi kusaka huduma...
  7. Mfikirishi

    DOKEZO Uchafuzi Wa Mazingira: Mgodi wa almasi Shinyanga

    Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji. Madhara ya kiafya hayajaripotiwa lakini wananchi wenye taharuki washaanza kuyakimbia makazi yao. Taarifa...
  8. MamaSamia2025

    Viongozi wa Dini wakemee pia Uharibifu wa Mazingira wanapohimiza watu waache dhambi ili mvua zinyeshe

    Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
  9. NetMaster

    Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi. Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
  10. Intelligence Justice

    Bonde la Msimbazi na Jangwani Kilimo na Vibanda Vyarejea Kwa Kasi - Uchafuzi Mazingira Hatarini Tena!

    Wakuu wa Jukwaa Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira uliokithiri. Baada ya muda zoezi hilo kufanyika uoto wa asili...
  11. BARD AI

    DAR inatumia 50% ya Mkaa wote unaozalishwa nchini

    Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi. Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
  12. B

    Online courses Za mazingira

    Habari wadau Naomba kujua Tanzania kuna online courses zinazohusiana na mazingira na zinatolewa wapi
  13. F

    Kariakoo-Uchafu wa mazingira kwa sauti

    Salamu wanajamvi. Mimi ni mkazi wa miaka 25 hapa Kariakoo. Pamoja na kero nyingi za kuishi hapo hususan wamachinga,uchafu, msongamano n.k kumeibuka kero mpya ya uchafuzi wa mazingira kwa kutumia spika zenye sauti kali inayofanwa na baadhi ya wahubiri katika kona za mitaa. Kelele hizi wakati...
  14. Pfizer

    Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. #CCMImara #KaziIendelee
  15. M

    Wizara ya Mazingira fanyeni kazi yenu sawa sawa nchi inageuka Jalala kwa kasi

    Nimetembelea jiji la Dar es salaam, kwa kweli hali niliyokutana nayo inasikitisha sana. Mpaka ikabidi nijiulize hii wizara inayohusika na mazingira iko wapi na inafanya nini? 1. Mifuko ya Plastic mitaani imekuwa mingi sana. Miaka michache iliyopita wakati wa Utawala wa Hayati Magufuli serikali...
  16. Wilhelm Johnny

    Vijana tujitahidi kukabili Mazingira

    Wakuu habari za masiku ndugu zangu poleni na mihangaiko ya siku. Nilikuwa na ushauri kwa vijana tunaopambana kutafuta kuna ile unapata hifadhi mbali na nyumbani huenda ni kwa ndugu au rafiki tujitahidi tukifika maeneo mageni tuache vitabia vyetu vya ambavyo unaona vitakuwa kero kwa mwenyeji...
  17. GENTAMYCINE

    Simba SC tukishinda leo nitafurahi, ila kiufundi nina wasiwasi na mazingira yake

    Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata kufungwa pia na Dodoma Jiji FC kama tusipojipanga vyema ndani na nje ya uwanja. Kwanini GENTAMYCINE nina...
  18. K

    Kamati ya Mazingira ya Bunge

    Je, hii kamati, huwa inapangiwa sehemu za kutembelea au wanajipangia? Naona wanatembelea viwandani tu ambako waathirika ni watu chini ya 1,000, wakati masoko yote ni machafu kupidukia na inaathiri DSM nzima. Waende soko la Stereo wakajionee na waipige faini manispaa ya Temeke hizo pesa wapewe...
  19. Mr George Francis

    Mazingira ya kazi kwa watu wenye ulemavu

    Ni jukumu la kila mwajiri kuboresha mazingira ya kazi kwa wafanyakazi wake. Mazingira ya kazi ni lazima yawe mazuri na salama kwaajili ya kufanikisha utendaji mzuri wa kazi. Hii itasaidia kuondoa hatari ya watu kuumia au kupata ulemavu wakiwa kazini au kusaidia watu wenye ulemavu kufanya kazi...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

    LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA. Anaandika, Robert Heriel Msomi, 😊. Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
Back
Top Bottom