MAZINGIRA YETU, AFYA YETU,WAJIBU WETU:
Afya zetu ni muhimu sana kwa ajili ya kesho yetu,kwani afya bora ndiyo chanzo cha uhai bora,tabasamu na bashasha njema kwa familia,ndugu na marafiki zetu.
Afya ya kweli ni lazima izingatie mambo kadhaa kama yafuatayo.
1. ULAJI MZURI WA CHAKULA (KULA KWA...