Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una biashara ukaamka huna biashara, refer ile case ya masoko kuungua. Au unalala una biashara yako, kesho...