Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani, uswazi au ushuwani, Bar au kwenye nyumba ya ibada n.k.
Je, ni kweli mazingira huwa yanafungamana na...