Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa.
Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi?
Zuio la...
Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita.
Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015.
Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa.
Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.