mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  2. T

    JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki kwa kuwa katika Mazoezi hayo kutakuwa na ongezeko la matumizi ya Ndege Vita na Meli Vita. Taarifa ya...
  3. K

    Wataalamu wa mazoezi: Naweza kutumia muda gani kupata matokeo haya?

    Kwa kupiga tizi gym naweza tumia muda gani kama ntakuwa na consistency
  4. Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

    Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
  5. Mwaka 2025 Tuazimie Kufanya Mazoezi

    Rafiki yetu 2024 ndio anatuaga leo anakwenda zake,tulikuwa nae pamoja na changamoto za hapa pale lkn baadhi yetu hawakupata bahati ya kuwa hai mpaka leo na wengine masaa haya machache yaliyobakia huenda tukatoboa au tusitoboe hakika uhai ni miliki ya Allah Mwishoni mwa 2023 nilihitimisha na uzi...
  6. Mazoezi makali ya wanajeshi Tabora kuna nini?

    Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti. MIsururu ya magari yao inakatiza, hii...
  7. Tetesi: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic

    Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Inadaiwa kuwa Lagrouni hajasafiri kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mazoezi na programu za kocha mpya...
  8. Wachezaji wa Bravos Wavuruga Mazoezi ya Simba kabla ya mechi, wakitaka kutikisa Nyavu

    Ubaya Ubwela kama unamgeukia Mnyama huko Lupaso Mechi haijaanza ila Wachezaji wa BRAVOS wakawa wanalazimisha kwenda kutingisha nyavu za lango la Simba, imebidi Stewards waingie pia kuwatoa maana walienda kuingilia hadi program ya Makipa wa Simba waliyokuwa wanaifanya chini ya Kocha wa Makipa.
  9. Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

    Wakuu mambo vipi....Binafsi sio mkufunzi(gym trainer) ila napenda sana mazoezi na ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer,nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013) so unaweza kuona nina experience ya miaka 11. Mazoezi pia yanaambatana na aina ya vyakula tunavyokula...
  10. PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

    Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
  11. Nafanyaje mazoezi ya kukomaza ngumi na kichwa kama wale wanajeshi wanaovunja matofali?

    Wakuu kuna zile siku za sikukuu huwa tunaona maonyesho ya Wanajeshi kuvunja tofali kwa mikono au kichwa mmeshawakumbuka eeh? Ule uwezo kuna mtu anaweza kunipa dondoo unapatikana vipi inachukua muda gani au pengine huwa kuna dawa ya kupaka kutia ganzi kupunguza maumivu? Nimeamia kibandani...
  12. M

    LGE2024 CCM naomba tubadilike kwenye teuzi zetu kuanzia mashinani...

    Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID... Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura. CCM naomba tubadilike...
  13. Anza siku yako kwa mazoezi na unishukuru baadaye

    Yes! mbali na kutengeneza body structure nzuri,mazoezi huufanya mwili uwe timamu sana. Mind you siyo lazima kwenda gym. Hapa naongelea mazoezi ya kawaida tu (simple exercise). Ambayo mtu yeyote anaweza fanya kulingana na mazingira aliyopo. Fanya hivi: tengeneza ratiba ya kuamka mapema kidogo...
  14. Mazoezi na mapishi bora: kabiliana na umri na Saratani

    Mazoezi ni kitendo cha kuushughulisha mwili kwa muda maalum. Wakati wa tendo hili , chembe hai huunguza sukari ( glucose) ili kupata nishati(ATP) na mabaki ya sukari. Mabaki ya sukari baada ya kuiunguza ( AMP) husisimua king'amuzi (exercise sensor) kilichoko kwenye chembe hai. King'amuzi hiki...
  15. LAMECK LAWI AANZA MAZOEZI NA TIMU YAKE

    Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu. Lameck Lawi amerudi Tanzania baada ya kufeli majaribio katika klabu ya AIK ya nchini Sweden. #matukiolive...
  16. Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
  17. Wanawake wakivaa nguo za Mazoezi (Yoga Pants) wanavutia sana

    Kubali au Ukatae...iko hivyo Wanawake wakivaa hizi nguo wanakuwa poa sanaa....halafu wanaonekana Classic wote yaani Wakishua hata kama sio....zaidi wanaonekana wasafi kumbe wengine hamna kitu...wanajikuta tu 😂 Povu za weekend ndio tunataka...karibu
  18. Nataka kuanza mazoezi! Niambie Chochote kuhusu mazoezi

    Wakuu nina passion na mazoezi.
  19. L

    Ole Lengai Sabaya kama unanisikiliza, anza kufanya mazoezi, kuna wahuni wamemkanyaga Nyoka mkiani

    Mama alichukua nchi na alikubali kuwaudhi watu ndani ya chama na serikali pale aliporudisha mikutano ya hadhara, akaingiza falsafa zake za 4 R yaani Reconciliation, Rebuilding, Reform na Resilience. Alitaka watu waikosoe serikali lakini kwa staha, kwa mfano mimi nafurahishwa sana na ukosoaji wa...
  20. J

    Mwanafunzi Umbwe boys afariki dunia akifanya mazoezi

    Mwanafunzi wa kidato cha tano, katika Shule ya Wavulana ya Umbwe, iliyopo Kata ya Umbwe Onana, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Thomas Edward Kogal (19) amefariki dunia wakati akifanya mazoezi shuleni hapo. Mwanafunzi huyo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Kigoma, anadaiwa kufariki dunia juzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…