Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake.
Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho.
Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya.
Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
ZANZIBAR.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Othman Massoud Othman amevitaka vikundi vya mazoezi nchini kuweka kanuni na miongozo ya maadili ambayo itasaidia kuondoa mitizamo hasi kwa jamii juu ya ushiriki wa makundi yote katika vikundi vya mazoezi na michezo.
Ametoa wito huo wakati...
Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu...
Salaam watu wa soka
Baada ya timu yetu Singida Black Stars kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA kwa kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili, maswali yamekuwa mengi mno.
Tulisema mapema tunaenda kwenye mashindano haya kwa lengo la kujaribu wachezaji ikiwa ni mpango wa mwalimu. Ndio maana...
Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa.
Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili
Mazoezi pia huupa Mwili uwezo wa kutumia Sukari iliyo ndani ya Mwili na kujenga Misuli
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza.
Waziri Ummy alitoa wito huo Januari 13, 2024 alipokuwa katika moja ya maduka ya vifaa vya michezo la ‘Just fit’ lililopo Jijini...
Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
Peace,
Wakuu kwa hapo je Moro kuna maduka ya vifaa vya mazoezi nahitaji kumnunulia mtu vifaa basic kwa ajili ya home workout kama vile bench press, dambells na tredmil.
Mimi niko Mwanza maduka hapa ni mengi hata Dar pia maduka ni mengi sana changamoto kusafirisha vifaa vya mazoezi ni gharama...
Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na
kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku.
Namna ya kukumbuka ndoto.
Je unaota ndoto na unasahau?.
Fanya meditation ya Namba.
Watu wengi wamekuwa wakiota ndoto na pale wanapoaamka hawakumbuki walichoota.
Sasa unaweza kurudisha...
Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi.
Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.