Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu...
Alitoka Azam. Azam ikiwa mbovu sana. Aliua makipa kwa mazoezi yasiyo na vipimo. Alipopewa Timu nilisema mno Kama toka aje Makipa viwango vinakufa kwa mazoezi mengi. Toka Aly Salum, Ayou na Manula ataua timu kwa staili hiyo hiyo.
Tukaweka kampeni aiache timu viongozi wakamwamini...
Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi.
Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza.
Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
Ukiwa na ratiba ya kufanya kazi za mikono/Physical activies kama vile kulima, yani unachukua jembe unalima unatoa jasho unakuwa umepata faida mbili kwanza unakuwa umelima bustani ya matunda au mboga au garden na hapo unakuwa umechoma burn calories mwilini.
Aliwahi kusema Dr. Howard Tucker...
Wakuu kwema?
Niko na swali hili, nilisikia watu wakizungumza kuwa mtoto akianza kubeba vyuma vya mazoezi anadumaa, yaani anaacha kurefuka na kuishia kuwa na umbo lile lile la mtoto (anadumaa).
Kuna ukweli wowote katika hili?
Wakuu habari.
Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada humu.
Uchumi kidogo umebana siwezi kununua vipya kwahiyo yoyote anaeweza nisaidie chimbo la dumb...
Habari zenu.
Kuna vitu vya msingi vya kufanya hapa dunia sio kila mda mnaongelea mpir,mpira tu,
Nawapa ushuhuda wangu mwanzoni nilikuwa na chukua dakika 6 kupiga bao la 1 ila baada ya kutazama video mbalimbali za kegel,na kufanya mazoezi hayo kweli nimekuwa fit sana,goli la 1 napiga dakika...
Nimesoma taarifa ya UNESCO inayoeleza kuhusu mazoezi ya Tsunami kwa nchi zilizo katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Mazoezi haya yalitaka kupima uwezo wa nchi katika kuhakikisha jamii inakuwa tayari na kuangalia uwezo wa mawasiliano. soma taarifa hiyo hapa Indian Ocean Countries Get Ready for...
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:
https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4
Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo...
Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa.
Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost...
Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag.
Ametakiwa kufanya mazoezi na wachezaji wa kikosi cha vijana cha timu hiyo kwenye Uwanja wa Carrington.
Sancho...
Kwa mara ya kwanza viongozi wa Urusi wamethibitisha kuwa lile tukio lililopata kuripotiwa sana duniani ilikuwa ni kama yale mazoezi ya kuzima moto nchini ambapo wakati mwengine ndege huripotiwa kuanguka na kuleta taharuki kubwa kwa wananchi.
Hilo limetolewa ufafanuzi na mnadhimu wa masuala ya...
Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023.
Mtuhumiwa ni Osward Kaijage Binamungu aliyekuwa...
Habari wana JF
Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani.
Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali.
Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya...
Mazoezi bora yanatakiwa kuwa na sifa nyingi. Sifa moja kuu ni yachome nguvu za kutosha. Chakula tunachokula kinaenda kuupa nguvu mwili wetu. Kama tunakula zaidi ya mahitaji ya miili yetu, chakula hicho kinaenda kuhifadhiwa kama "Kitambi."
Basi mazoezi bora yanatakiwa kuchoma kitambi cha...
Ni miaka mingi iliyopita wakati nachukua kozi ya unesi chuo cha Muhimbili. Hosteli zipo karibu na taasisi ya MoI. Sasa nyuma ya Hosteli kuna barabara ambayo nilikuwa naenda kukimbia muda wa jioni saa moja hivi. Na huko nyuma kuna sehemu watu wa MoI huweka mazaga yao kama vitanda vibovu nk...
Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira.
Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa.
Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii.
Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.