Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli.
Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako amewagiza waajiri kuweka mifumo kwa wafanyakazi wao ya kuwewezesha kufanya mazoezi ikiwemo ‘gym’ ili kuwa na wafanyakazi wenye afya njema.
Waziri huyo amesema moja ya sababu ya kutaka gym ziwepo...
~ Kwanza muanze kujua kuwa uwanja wao utajaa ile mbaya.
~ Pili mjue kuwa Waarabu fujo na umafia ni moja ya tunu zao.
~ Tatu aina tu ya ushangiliaji wao tayari ni ushindi tosha.
Yaani wamewapania hadi kuandika kuwa "Revenge has no Mercy".
Mtawakoma!
Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA.
Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA . It seems kuwa hawa tu ndo wa wanaheshimiana na kuogopana, wengine wote Mbuzi. Hii vita ni Washington...
Kwa mujibu wa Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa Cha Marekani (CDC), mtu mzima anashauriwa kushiriki mazoezi mepesi kwa walau dakika 150 kwa wiki.
Mazoezi huongeza utimamu wa afya ya mwili na akili, ni jambo jema katika kujikinga na maradhi ya mwili, hasa yale yasiyo ya kuambukiza...
Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu.
Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu
My Take
Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
Russia na China wameendelea na mazoezi ya pamoja yanoitwa Vostok 2022 ambayo yajumuisha nchi zingine zipatazo 12.
Mazoezi hayo yaendelea huku bado kukiwa na vita ya Russia na Ukraine pamoja na mgogoro wa China na Marekani kuhusu kisiwa cha Taiwan.
Mazoezi hayo yaloanza Alhamisi ilopita...
Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1.
Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
Mwili wa binaadamu hujengwa kwa vyakula na lishe bora ya kiasili isiyo na kemikali ikiwemo kula mboga mboga, kunywa maji kwa wingi, kula matunda, kula vyakula visivyokua na mafuta mengi, kula vyakula visivyokua na sukari nyingi, mlo wenye mpangilio maalumu, kuachana na kupunguza vyakula vyenye...
Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills
London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors...
China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022.
Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa.
Aidha, China imekuwa ikiiunga...
Salaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi
Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au...
Jeshi la China lilisema lilifanya mazoezi zaidi karibu na Taiwan siku ya Jumatatu wakati kundi la wabunge wa Marekani lilipotembelea kisiwa hicho kinachodaiwa ni himaya ya China na kukutana na Rais Tsai Ing-wen, katika kile Beijing ilisema ni ukiukaji wa uhuru wake.
Wabunge hao watano wa...
Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha
Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu tunarudi pale baada ya jana kuendeleza uteja kwa utopolo fc
Hata mkirekodi kwenye simu au kuja na...
Tarehe 8 Agosti ni Siku ya Kufanya Mazoezi nchini China. Siku hiyo, rafiki yangu kutoka Afrika Duncan Likok alisema, “Sasa najua kwa nini China inaweza kupata mafanikio makubwa, kwani ina serikali yenye uwezo mkubwa, na imefanya vizuri kazi kubwa nyingi ikiwemo kutokomeza umaskini pamoja na...
Na ninavyowajua hao mliowafunga hizo Goli 9 kwa 0 leo ni kwamba 95% ya Wachezaji wao ni Wabwia Unga, Bangi na Mateja na nimeshangaa kuona mmewafunga Goli hizo 9.
Tarehe 13 August,2023 mtatukoma!!!!
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Somalia utakaochezwa kesho Jumamosi Julai 23 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Polsen ameshangazwa na kitendo cha timu ya Taifa ambayo inajiandaa na mechi ya CHAN kunyimwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili...
Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka nayo Sare mnakimbilia 'Kuposti ' Matokeo Mitandaoni na kuanza Kujisifia.
Naipenda sana Simba SC...
Kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi. Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.
Kwenda matembezi ya kawaida huimarisha moyo wako na mifupa. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.